habari zenu wadau wa Jukwaa hili la Elimu.
leo maoni yangu yanaelekea kwa wanafunzi wa elimu ya juu na suala zima la matumizi ya madesa yanayojulikana vilevile kama vibomu.
madesa hutumika sana...
Naomba kuwauliza wanachuo hasa wa UDOM VP ikiwa mtu amekosa Mkopo je upo uwezekano wa kujisomesha mwenyewe?.namzungumzia mtoto wa mkulima hukooooo kijijini
Ndug wanajukwaa poleni sana kwa shughuli na kukosa mikopo kwa baadhi ya wanachuo watarajiwa.Leo majira ya saa 12.06 jioni website ya bodi ya mikopo imeanza kufunguka na wameomba radhi kwa matatizo...
Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those...
Kutokana na bandwidth ya HESLB kufikia limit na traffic kuwa kubwa nmetumia google drive kuwarahisishia members wa jf kupata majina yawaliopata mkopo kutoka Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya...
Wednesday, 19 September 2012 19:13
Elizabeth Edward
WANAFUNZI 3,937 waliodahiliwa kuanza masomo ya elimu ya juu mwaka 2012/13 katika vyuo mbalimbali nchini, wamekosa mikopo kutokana na...
wanajf naombeni msaada kwa anayejua hawa jamaa wanatoalini majina ya waliochaguliwa kujiunga na course za diploma hapo chuo cha mipango dodoma...asanteni
wana jf kwanini matokeo ya darasa la saba hayatoki ????
Tangu nimalize shule ya msingi 1994 sijawahi kuyaona matokeo yangu, naelezwa kwa ujumla tu eti hujachaguliwa!!!!!!! nani huyo anayechagua...
Habar wadau. naomba msaada aisee nimechaguliwa kujiunga mzumbe first year kozi ya eductn w but nimepata wazo la kusoma Bachelor of edu AT duce . so naomba kuuliza kama inawezekan kubadilisha na...
Wana JF naombeni nafasi kidogo japo najua jukwaa lipo bize kupita kiasi
Ndugu zangu najua kuna watu hadi sasa wanachekelea na wengine wamekwisha kata tamaa na kuanza kutafuta kazi za kufanya na...
Ninaomba unisaidiye kujibu yafuatayo:
1. Ikiwa nimepata loan 100% ninatakiwa niende na kiasi gani wakati wa usajili?
2. Je, kuna vyumba vya kupangisha karibu na chuo?
Jaman m nko admitted DUCE na nmepewa mil. 3.1 mkopo ila fee n mil. 1.3,ambayo n kama asilimia 57.9 hv!! Sasa hicho kiasi kinachobaki tunatakiwa kuwa nacho wakati wa kuripot au tutakipeleka semster...
huu ni mfano wangu
kias cha mkopo-3547500
ada-1200000
field-600000
meals and accomodation-1837500..
Kwa kuwa unatakiwa ulipie 282500 kabla ya tar 30 sept,iko kias hatuta kihusisha kwenye...
Kwa wale wote waliosoma Arusha Sekii, jmosi hii mnatakiwa kufika hapo shuleni ili kupanga jinsi gani maandalizi ya miaka hamsini yawe.
karibuni sana wadau. 50 years si mchezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.