Jamani naombeni wale wa udom tueleweshane kuhusu hili hasa wale mliopo dom ambao ni rahisi kupata habar za chuo coz wengine tupo nje ya tz na kupitia humu tunapata habar zote
UTATA
1.Kuna...
nadhani macho na masikio ya kila mdau amepata kila kitu alichokuwa akisubiri kwa hamu kutoka TCU na HESLB,,msimu ndo hivyo unaelekea mwisho,,tuwaachie first year wajao yaani 2013/14...NAWATAKIENI...
Ndugu zangu wasomi.....
Huu ni waraka wangu kwenu kuwatakia subira manake wiki sasa inakaribia kukatika bila
y kujua muamala wetu km tumepata mkopo au lah...!!!! Bodi y mikopo inapaswa...
Jamani naomba kwa wanaojua, mambo yamekwiva kuelekea vyuoni na mkopo huo wamegawa, lakini sisi wengine wa DIPLOMA ndo hivyo... CHECKING IN PROGRESS...ndo tumetoswa au bado tunashuglikiwa?
Nawasilisha.
Hii shule ipo moshi maeneo ya soko laa mbuyuni na mkuu wa shule hii anaonekana ni tapel fulan ambaye anaajiri waalimu bila mkataba wowote na cku yoyote akiamua anafukuza na hadi sasa kuna waaalim...
Nina division 1 ya point 17..nina B 4 na C 5 na cna mpango wa advance,nataka kwenda chuo ila mpaka sasa naumiza kichwa cjui naenda chuo gani...nina mpango wa kusoma kati ya haya...
Jmn naomben msaada kuhusu hk chuo cha SAUT mwanza, ni kwamba mm nimechaguliwa pale SAUT,
na hapa nilipo cna pa kuanzia, niko wilaya ya magu mwanza na nimejpanga kesho kwenda chuon ili nikapate...
Samahan kama haka kathread changu katakua kamejadiliwa kwenye 2thread zengine sasa mm nmeshindwa kuingia nahc hzo pacwed na username zkosawa na nkireset inakataa naomba hao walio na maufund wapate...
Ndugu zangu wanaJF haswa sisi tuliobahatika kupata Loan kutoka heslb, hakika twapaswa kumshukuru mungu na si majivuno ukizingatia kuna wenzetu wamekosa, tena mimi ni mfano wa waliochaguliwa course...
Jamani ninachukua degree ya engineer bahati mbaya mwaka 2011/2012 nilikosa mkopo nilijitutumua mpaka nikasoma hivohivo(nina deni chuoni) lakini niliapply tena je utaratibu ukoje kwa sisi...
Teknolojia sasa imefanya Elimu ya Tanzania kuwa kama Michezo ya Juma na Uledi.sasa Hawa wanafunzi ambao ni wataalamu wakuchagua Hesabu, huyu mwalimu wangu wa shule hizi za kwetu ambazo ukipeleka...
Watu sasa imekuwa shida..dah!,,maana maamuzi ambayo wanachukua..
..siyo kabisa(maombi yangu ni kuwataka kuwa wavumilivu ktk kipind hiki kigumu wakati mnasubiri mtazamo na hatua zingine ili...
Mimi ni mwanachuo mtarajiwa!
Naingia chuo siku sio nyingi!
Natamani niwe AUDITOR na ninaenda kusoma BACHELOR OF ACCOUNTANCY nataka nisome mpaka MASTERS na sijajua nitakuwaje AUDITOR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.