Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wakuu naombe mnipe njia au mnisaidie 3117500 kwenda kwenye asilimia nafanyaje.au kwa anaefahamu aniambie ni hzo pesa ni % ngapi!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao...
5 Reactions
132 Replies
19K Views
kuna kijana wa jirani yetu alidisco mwaka jana chuo flan huko mkoani morogoro,mwaka huu ameaply tena chuo lakn hakuapply mkopo ila cha ajabu heslb wametoa majina wamemweka kwenye category ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
:baby: Hivi mwalimu anatakiwa akae kazini miaka mingapi ndo apate ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza?Kwa sababu mimi nina miaka miwili na huu ni wa tatu lakini haujakamilika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepewa 3,652,500 >>>>>school fees 18,00,000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sijui hata wa kumlaumu nani..!! Ni baada ya kukosa mkopo mimi mtoto wa MKULIMA.! Kozi LLB ya pale Mzumbe.!!! Waliopata mkopo mkasome na sio mkaendekeze hanasa.!!
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomeni msaada,kwenye masomo mtu ambayo anatakiwa awe ameyasoma moja wapo ni criminal law and procedure au criminal law or procedure?kwa sababu mimi criminal law ilikuwa option so nikachagua somo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadogo zangu msipaniki kwani link za majina ni nyingi subirini website ya heslb ikifunguka vizuri mnaweza kuona katika link nyingine. Usilie!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman 1st wanataka jua asilimi nani atasaidia apa sasa
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Sasa mikopo imetoka muache kusumbua humu ukumbini, mmekuwa kero sana. Nenda shuleni kuanzia leo. Lecturers, Professors, wape kazi sana wakose hata muda wa kuja kujaa humu. Kipimo cha utendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It has been a while now tangu tulipokuwa na kihoro cha kutaka kujua tcu na heslb kuna nini.Mengi yamesemwa na mengi yameandikwa hatimaye kila kitu kipo wazi wenye presha zimeshuka ila naamini...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Jamani kama jina la mtu halipo kabisa kwenye website ya bodi inamaanisha nini?kanyimwa mkopo au hata kama umenyimwa mkopo jina lako litakuwepo na litaaondikwa no loan?naomba ufafanuzi wajumbe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wanajukwaa nilikuwa na hamu sana ya kuona mkopo umetoka kwa kuamini kuwa nitakuwa mmoja kati ya watu watakaobahatika kupata mkopo.Lakini baada ya kupitia majina ya watu waliopata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
guys plz naomba msaada wenu kwa wahusika wa Software Engineering hasa wa UDOM second year my contacts 0712425886
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Hawa jamaa wa loan board ni watabe sana,wamepiga kazi usiku na mchana kuhakikisha watoto wa wakulima hawalali na njaa chuoni.THANK GOD NIMEPATA MKOPO.THANK YOU VERY MUCH MR LOAN BOARD
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna jina hata moja lililoonekana kwenye list ya waliopata mkopo.hivi hawa jamaa mbona wana wanyanyapaa sana equivalent student?Au hawa waliotajwa majina yao wao walilipa zaidi ktk...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
amin kila kit kinawezekana jamii forum mimi pia nilikosaga ila bum nlipata na xaxa niko mwaka wa 3 naish vizur tu,kama una tatizo ilo tshauriane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aisee yani hapa hata sielewi hatima ya skuli ni vipi. Kwa ufupi nimeapply loan lakini naona hayo majina ya leo simo. Nimeshapanic tayari yaani najiuliza ntasoma vipi hii elimu ya chuo. Nilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatariiii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wazee nisaidien hapo... wametoa amount tu.. hakuna. %
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom