Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao. Je kuna njia yoyote wengine...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
sjawah kuona taasis yenye mipango mibovu kama TCU. Wamewaandikia watu kwenye profile zao wamechaguliwa Agribusiness SUA alaf hatuoni majina, kisa madarasa hayatosh watu 50 majina yamerudishwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watoto wangu na wadogo zangu wa darasa la saba,kesho wanaiingia kwenye mitihani ya Tafa ya kumaliza shule ya Msingi. Watafanya mitihani hiyo kesho na keshokutwa yaani tarehe 19/9/2012 na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo kuna zaidi ya wanafunzi 600 ambao walistahili kupata mkopo ambao hata hivyo wanatakiwa kufanya marekebisho kwenye form zao za mambi ndani ya siku 14 kabla...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Serikali imepata woga gani tena, mbona mlitutangazia kuwa katika mkakati wa kuhakikisha hatupati tena wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika kujiunga na shule za sekondari za kata kama ilivyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania kwa asili yetu ni wapole, na kwa muda mrefu viongozi na watawala wa idara mbalimbali za serekali wamekua wakitumia udhaifu huo kutuonea.Ni tangu jana kuanzia mkurugenzi wa bodi ya...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
jamani hakuna mtu yoyote ambaye hata ana ndugu helsb atudokeze kinachoendelea humo ndani???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukikosa mkopo isiwe ndio mwisho wako wa kuisaka elimu,pambana kutafuta vyanzo vingne vya ufadhili kama makampuni au kuchukua mkopo bank nk.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanafunzi wa sayansi kupendelewa, ualimu tu wengine wajitegemee na wamedai mwaka jana walitoa boom kwa wanafunzi takriban 26,000 na bajeti waliyopewa na wizara ya elimu.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hellow guys, mwenye soft copy ya notice za cpsp (bodi ya proc tanzania) level 4 na 5!!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwel nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi huyo jamaa mkurungnz ametudharau watanzania ml 50 kwa kudangany umma na zaidi ametutuc ss tunaosubli mikopo natamani kuhamia syria niondoke tz.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu. Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa...
1 Reactions
100 Replies
16K Views
Ndugu zangu nisaidien kufahamu kama wale waliosoma diploma NTA level 6 na FTC watapata mkopo,kama wana vigezo vyote kwasababu kuna taarifa nimesikia kuwa wale wa direct from school ndo watakaopata
0 Reactions
3 Replies
1K Views
2 round undergraduate selection za agribusines tayari
0 Reactions
0 Replies
728 Views
2 round selection of agribusines tayari
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Orphaned girl starts university in Zimbabwe at 14 By Teo Kermeliotis, for CNN September 18, 2012 -- Updated 1136 GMT (1936 HKT) Maud Chifamba, middle, started her studies in accounting...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ivi karibuni jeshi la polisi limeanzisha Diploma in Police science je hii itasaidia kuweka polisi kwenye perfomance nzuri au wameanzisha kwa nia ipi ? Polisi ina wasomi wengi lakn sio wataluma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
habari zenu wana jf? naombeni radhi kwa kutopanda jukwaani muda mrefu xo nimerudi na vitu vyenye msing nilkuwa nchin BOTSWANA nikimalizia masomo so iko hv kwa bodi husika inayo shughulikia utoaji...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom