Salam wana jamvi wenzangu,
kwanza kabisa naombeni tumshukuruni BWANA MUNGU kwa wale ambao tumepata mikopo. Jamani mimi binafsi sikutegemea kabisa kupata mkopo kwa sababu nilichagua course ambazo...
ADMISSION TAYARI, BADO VITAA KUANZA, kwa mimi wa 1st year cna hata mbinu nyingi zaidi ya kusoma 2 uko. I need advice pia na masuala mengine wadau wenzangu juu ya jinsi ya ku-survive uko.
(Hapa...
wajuzi nijuzeni wakuu,eti heslb watatoa batch nyingine au hii ndio kwishney coz mi mtoto wa mkulima wamenitosa na je ni lini yatatoka,kama hamna tujuzane tuanze kitaolojia mapema a.k.a street...
du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi...
Wanabodi,
Natumaini hamjambo na kila mmoja anaendelea na ujenzi wa Taifa letu la Tanzania. Leo hapa Mwanza kuna jambo limenishangaza sana. Nimekutana na Gari la polisi likisindikiza gari la idara...
Kulingana na takwimu zilizotolewa na heslb,ni wanafunz 6800 wanaosoma kozi zenye non priority ndio wamepata mkopo.asa ukipga mahesabu ya haraka haraka hapo,udsm penyewe kuna watu zaidi ya 3000...
Wadau nisaidieni mi sioni list ya Heslb kwa wanafunzi wa SAUT, nilitegemea kuikuta list ya SAUT hapa kwenye list ya HESLB 4: 2012/13 Loans Allocations List 3-A (RU - SJ) badala yake kila...
Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.
Wanajf mimi nmebahatika kuchaguliwa kwenda kusoma b.a sociology pale UDSM ukiachilia mbali presha ya kupata au kukosa mkopo bado sijajua itansaidia vp maishan wapi ntapt kaz n mengine mengi hapa...
:eek2:Inasikitisha sana mtu umepata shida kujaza mafomu mwisho wa siku hujapata hata robo asilimia hivi kweli watanzania tunaenda wapi?:sleepy::sleepy:
Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye...
Wana JF naombeni nafasi nami nipande jukwaani,
Kutokana na chanzo changu cha habari kilichopo jijini dar es salaam kilichokuwa kikidodosa dodosa kuhusu kucheleweshwa kutolewa majina ya walioomba...
Wapendwa wana jf kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika ni kwamba loan allocation for academic year 2012/2013 ni mpaka mwezi wa kumi kutokana na mchakato mzima wa utoaji wa mikopo hiyo...
Wadau hii ngoma mpaka sasa kimya wakati tuliambiwa kila kitu kitakuwa kwenye net.Hii maana yake nini?Bila shaka walishaona kuna dali lili mbaya kwahiyo wakaamua kuwatuliza watanzania hasa loan...
wasi wasi ndio akili hi ndio bongo land ni vitu ambavyo havina husiano kati ya kutangazwa kwa matokeo lakini hadi wakati huu hakuna kipya kwenye site yao. Nilishasema wizara husika inaitaji...
jamani muda ndo huo unayoyoma na baadhi ya vyuo vimeanza kutoa admission forms. je walio apply vyuo kwa kutumia equivalent qualification vipi jamaa maana kila niki angalia ni 'CHECKING IN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.