Aisee! Kwanza nianze kusema kwamba kwa sa iv stres zote sjui za tcu na heslb zmenexpire 7bu 2meshazoea
Wadau naomba kujua kuwa chuo hik lnstitute of Adult Education knafungua lin kwa frst year na...
kwanza nawashukuruni kwa kazi yenu nzuri ya ku2dokeza new alert kuhusiana na mambo kadha wakadha but jaribuni kutupa vitu ambavyo ni kweli mmevitafutia ukweli
Ni usiku wa manane. Kuna vijana wanne; A,B,C na D, wanahitaji kuvuka daraja lenye uwezo wa kuvusha watu wasiozidi wawili kwa wakati mmoja. Wote wanne wanahitajika wawe ng'ambo ya daraja baada ya...
mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
Mwana Jf Naja,
Jukwaani Napanda,
Ninataka Kujua,
Niondoe Ugiligili.
Tz,Kenya Na Uganda
Ni Ipi Inatisha,
Inatisha Kwa Elimu Bora?
Niambieni,nipate Fahamu.
Nina Rafiki Mkenya,
Pia Mganda,
Wote Kwa...
Ndugu wadau,
Nawaombeni kwa wale waliopitia shule ya Sekondari Kibohehe watukumbushe yale yaliyokuwa yanajiri kipindi hicho hasa miaka ya mid and late 80's. Mnakumbuka uhasama wa Kibohehe na...
Hatimaye chuo cha KCMC kimeongeza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga hapo baada ya awali majina hayo kutokuwepo.Kutazama jina lako log in kwenye web ya chuo ujionee.Ahsanteni tumsubiri heslb.
kwa yeyote anayejua web ambayo naweza kudownload novel za huyu jamaa, naomba anisaidie coz nimesoma novel zake kadhaa na nimevutiwa sana na uandishi wake. nice time guys:flypig:
huyu ni mwandishi wa vitabu vya michezo ya kuigiza ambaye alizaliwa mwaka 1526.
Shakespeare inaaminika kwamba ndiye mwandishi bora kabisa wa michezo ya kuigiza ambaye hajawahi kutokea.
Toka...
Wanafunzi wa
vyuo vya elimu ya
juu nchini, wako
hatarini kuchelewa
kupata fedha za
mikopo kutoka
Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa
Elimu ya Juu
(HESLB) kutokana
na mchakato wa
kutoa mikopo...
MADHARA YA KUPAPATIKIA BUMU HAYA HAPA HADHARANI
Naitwa XXX mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Bwiru secondary. Ninaishi njombe, nilitamani sana kusoma chuo kikuu chochote hapa Tanzania na wakati...
Kuna tofauti kati ya joining instruction na admission letter?,kama jibu ni ndiyo aliyeipata hiyo admission letter ya Mbeya University of Science and Technology (joining instruction inapatikana...
Naomba kujua na kisha tujadili malengo ya Elimu ya Msingi wakati huu wahitimu wa darasa la Saba wakijiandaa na Mtihani wa mwisho.
Hii itatusaidia kufanya tathmini juu wa ubora wao kwa kuzingatia...
Short for Optical Mark Reading or Optical Mark Readers, OMR is a system that gathers information by using a hardware device that detects a reflection or an absence of reflection from a card...
Mwanzononi mwa mwezi wa August 2012, Azania Bank walitoa tangazo la nafasi moja ya Senior Insuarance Oficer.Mwenye tarifa kuhusu ama usaili umefanyika au bado naomba anijuze
Nimeshangazwa sana na kauli ya rais wa muso ktk gazeti la nipashe,eti tumetulizwa kwa kukopeshwa sh elfu hamsini in hali anajua hali halisi kuwa pesa zimecheleweshwa kwa wiki tatu,serikali yake...
Jambo Hli Linaweza likawa nje ya jukwaa le2 hili lakini kwakuwa kuna my fellow great thinkers na wengne,nisaidieni 2.
nimefanya utafiti sana juu ya chanzo cha uoga na hofu inayomtanda mtu akiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.