Habari wanajamii,naombeni kuuliza eti ni vitu gani vya muhimu natakiwa kuvilipia kabla sijatia pua yangu chuoni....nimechaguliwa University of Dar es salaam,BA with education
Wanajamvi habari zenu za saizi. bila kupoteza muda ni kwamba udsm wametoa medical examination form unayotakiwa kuidownload na kwenda kuijaza hospitalini au kwny kituo chochote cha afya...
Wamenipa facult ya Computer science and engineering pale St Joseph wakati sikuiweka kwenye choice pia nimesoma HGL sasa sijui wanataka nini,nikiwapigia simu subiri subiri kibao.Msaada wa kimawazo.
Is this another easy solution to another difficult question?
I read it up in the Guardian of today that in a bid to curb massive cheating in national exams for the first time in history of...
Nilichaguliwa st joseph dar kimakosa sababu mi nimepiga arts,lakini baadae nikaenda tcu wakaniambia wamenibadilisha niende Udom Baed in ICT lakini profile yangu bado inaniandikia nipo admitted st...
Kwa atakae penda kwenda kuchukulia chuoni,zitaanza kutolewa tar 17/09/2012,kama uko mkoani inabidi hadi chuo kifunguliwe.kwa maelezo zaidi,tembelea www.udsm.ac.tz
yaani mpaka sasa kuna majina ambayo hayajawekwa kwenye tovuti yao na ndio maana wanafunzi kibao ambao waliochaguliwa UDOM hawawezi kulog in, hivi ict yao ndio tuseme haipo active kwa wanafunzi...
Nikuiva kwa mambo au ni matatizo ya browser, maana nimeingia kama mala sita nakuta peupe kabisa tofauti na siku site. Jaribu nanyie kisha tupeane hints.
Serikal ya jamhur ya muungn ya tz,imeingilia kati suala la TCU kuchelewa kutoa majibu lasimi ya vjana wenye sfa za kujiunga na vyuo nch na inasemekama kuwa TCU wamepewa saa 24 tu wawe wametoa...
Kuna watu nimepata habar za uhakika wanasoma TIA (Tanzania Institute of Accountancy) Mbeya branch 1st year wanasomea diploma ya Accountancy na wakati A-level walisoma HKL.
Elimu ndo imebadilika...
Samahani kama naposti kusiko.
Kwa anayejua,je ni lini wanaanzan application kuingia Law School of Tanzania kwa intake ya january 2012? maana website yao hata haina chochote cha kueleweka wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.