Kwa wale ambao hawaoni majina yao,hawawezi kudownload form ya usajili,na majina hayo yatawekwa mtandaoni katikati ya wiki ijayo hvyo inabd muwe wavumilivu 2.ukitaka kuona tangazo nenda ALIS utakuta
Ndugu wadau,
Ripoti ya tume iliyochunguza tuhuma dhidi ya upotoshaji wa matokeo ya mtihani wa somo la Islamic knowledge kidato cha sita mwaka 2012 inasikitisha. Tarrifa zilizotolewa na Naibu...
sababu ya tume ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kuchelewesha kutoa majina ya waliopata na kukosa mkopo kwa mwka wa masomo 2012/13 na vyuo ndo vinaanza kufungua
Mazee noana HESLB imesizi hadi mida hii, lakini mimi niliomba na udhamini wa Hazina, wadau hakuna mwenye dodoso wizara ya fedha nao wanatoa lini majina ya waliopatiwa udhamini? nimetega kotekote...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imemsimamisha kazi na itamchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Idara ya Utafiti, Tathmini na Huduma za Kompyuta, Joseph Mbowe baada ya uchunguzi kubaini...
"Malangali, shule yetu,kweli tunaaaakupenda sanaaaaaa............"x2 Ulikuwa ndo wimbo wa shule. Nakumbuka Orchad iliyosheheni mipera, bustani iliyojaa miparachichi. Mwilavila, Isimikinyi, Ulefi...
I Seek A Piece Of Adivice Frm U.i Just Wanna Write A Novel Whch Wl Be Seriously Talkn About Comtemporary Africa Whl Comparing It Wd The Past Africa!.my Book Wl Be Tittled 'the Old Is Gold' Or 'the...
wadau wa elimu nafasi za tutorial assistants zina vigezo vilivyo wekwa na TCU? Naomba nijuzwe mana vyuo vingine wanasema upper second wengine wanasema 3.8. What is the stand?
Kozi zote ambazo nilitegemea kusoma kwa mkopo (Priority) nimekosa na nimechaguliwa Second round kwa kozi ambayo haina mkopo (Non Priority) na ambayo si chaguo langu.
Je, ina maana mimi kabwela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.