Wadau wote wa Elimu mnakaribishwa kutoa mawazo chanya ili kuboresha tukio hilo la kihistoria,,TTN ni taasisi iliyoanzishwa na kusajiliwa na walimu ikawa na lengo kuu la kuboresha fani ya Ualimu...
Naibu waziri Philip Mulugo amesema mfumo wa ukokotoaji wa alama za mtihani wa Islamic Knowledge ndio ulikuwa na makosa sio usahihishaji.
Matokeo ya jumla yaligawanywa kwa tatu badala ya mbili...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in Dar es Salaam)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on DATA...
Hatimaye ile tume ya watu 9 iliyoundwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuchunguza malalamiko ya usahihishaji wa mitihani ya Islamic Knowledge imekabidhi taarifa yake leo...
Wakuu,
Naomba niwakaribishe kuifahamu kwa undani hii tovuti www.mathisfun.com. Natumaini mtaifurahia na pia kuwafahamisha watoto na vijana wenu ili waitumie kikamilifu. Itakuwa vizuri kama...
Wanajamvi, mimi nilikua ni miongoni mwa wale wanafunzi ambao majina yetu hayakupelekwa vyuoni, lakini leo nilibahatika kwenda sua na kuulizia inakuaje kuhusiana na hili? Ndipo nilipopewa karatasi...
Makamu Mkuu Shule ya Sekondari Kivesa, Faustine Mrosso, shule hiyo iliyopo Kata ya Chanika inahudumia vijiji vya Kwediyamba, Kwedizando na Kwekambara maeneo ambayo ni mbali na shule hiyo.
Baadhi...
Napenda kuwahabarisha wanachuo wote wa SAUT ie-:flypig:First Year,Second and Third year :flypig:yakwamba kwa wale watakao hitaji private hostel rooms zisizo za chuo kufanya mawasiliano na contact...
WADAU NAOMBA KUULIZA SISI TULIO OMBA TCU NA NI EQUIVALENT MBONA MAJINA YETU HAYAJATOKEA VYUONI MAANA Tangazo la tcu lilituelekeza kuomba huko na sio vyuoni. sasa leo tunaambiwa majina hayapo...
Wana ndugu nimepata taarifa sasa hivi kupitia mwana dodoso mwenzangu aliye ndani ya HESLB na amenihakikishia ya kwamba taratibu zote za ku-upload majina ya wanafunzi waliopata mikopo ya elimu ya...
We are expecting 15 teachers by end of this September. This will definitely be a great support for secondary students, Saleh said. She said it was previously planned that 10 teachers will come...
Mimi ni mmoja wa wale ambao walichaguliwa pale ardhi university lakini jina langu halikuonekana kwenye list ya mwanzo basi mimi leo nilienda pale chuoni na kukuta majina mengine yameshafika pale...
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS
PRESS RELEASE
STANDARDS DAY ESSAY COMPETITION
Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure today to launch the STANDARDS DAY ESSAY COMPETITION for 2012...
Wakuu,kulingana na taarifa rasmi nlizozpata muda huu toka chanzo cha kuaminika toka heslb,ni kwamba zaidi ya raia 15000 wamepigwa chini na heslb..watu wanaosoma udaktari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.