Tafadhali jaribuni kuwasiliana na bodi ya mikopo +255222669036 piga mara nyingi pia hata kama huna fedha ya kulipia nusu ada, yaani unategemea heslb, fika kesho main campus angalau upate tamko...
Mtoto wa ndugu yangu anatakiwa ahamishwe kuja Dar. Atakua akiishi Tabata, Dar. Form 3, wa kike. Naombeni mapendekezo shule gani tumpeleke. Day school preferably, and not more than one daladala...
Nimemwombea mdowangu nafasi ya kujiunga na certificate ya medical asistance kama ilivyokuwa imetangazwa na wizara ya afya, lakini nashangaa mpaka sasa post hazijatoka xo sielew serikari...
Hivi hawa jamaa hawana hata pre-infor? Hii kitu wengi tunaisubili sasa kama bado wako kwa process wangetu-pre info ili tukaripoti vyuoni maana wengine trh 01/Oct kwa chuo,mwenye ndugu heslb atupe info
United African University of Tanzania (UAUT)
UAUT Founder and Chairman, Reverend Joshua Lee told journalists in Dar es Salaam that initially the university will focus on two academic units...
Jamani waungana naomba mnijuze,hivi nafasi za masomo Muhimbili zimetoka ama bado.
Anaefahamu kuhusu hili naomba anipatie link ambayo ina majina ya waliochaguliwa (LABORATORY MEDICAL TECHNICIAN)
tcu wlinipanga st john ila kwenye list ya majina ya st john langu halipo.nikajaribu kuangalia chuo nlichochagua cha kwanza ifm nikakuta jiana langu .sasa niende huku ifm ambako jina langu lipo au...
Qn: Auncle was visited by numerous guests and he gave the guests numerous seats. When the guests sat in pairs one seat remained and when they sat individually one of them missed a seat. How many...
Hivi itakuaje kama loan application form yako imepotea na haikuwafikia kabisa heslb na ulitumia process zote kuituma.
Tujuzane kabisa maana boom likitoka hapa amtokuwepo tena jf so tutakosa wa...
Habari zenu wana JF
mm nmechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam. Lakin kwenye DIRECT COST zao kuna fedha ya matibabu, sasa inakuwaje na wakati mimi ninatumia bima ya afya na mzee...
Kwa wenye ndoto za kuja kujikita katika sekta ya mifugo, na ambao bado hawajapata nafasi za vyuo, tembeleeni Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.