Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani ndugu zangu mimi ninapata shida kweli kuelewa nimepata asilimia ngapi je,tunafanya vipi kufahamu mpangilio wa mkopo unaoupata nisaidieni wapendwa,,,,,,,,,,,,,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf nina ndugu yangu amechaguliwa Sua. BVM,Ni yatima hana wazazi wote. Cha kushangaza tumeangalia jina lake kwa waliopata mkopo hayumo. Sasa jaman naombeni ushauri tufanyeje ili naye aweze...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Samahani wa ungwana udom walisema katikati ya wiki hii watatoa majina yaliobaki je?kunayeyote ambaye ana update yeyote?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
je unatakiwa kuandika desetesheni n? kwa msaada na ushauri tuwasiliane :A S 465:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam wana JF! ni muda sasa Wizara ya Afya ilitangaza course za afya ikiwa ni diploma na certificate, je kuna chochote kimejiri kuhusu applications zilizotumwa kwenye kanda mbali mbali? naomba...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani Second selection za diploma ya ualimu ualimu zinatoka lini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kujua eti wanaosoma LLB mwaka wa kwanza huwa wanakwenda field?
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Walimu wanne wa Shule ya msingi ya Ukerewe mkoani Mwanza wanashikiliwa na polisi baada ya kufumwa wakiandaa majibu ya mtihani wa darasa la saba. Hizo ni baadhi tu ya habari inayopatikana kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, heshima mbele, nakili kutolewa kamasi na website ya Helsb, Tafadhali menye kujua jinsi ya kuona majina ya waliopata mkopo anifahamishe, mimi nimeshindwa kabisa kuyaona. MSAADA TAFWADHALI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
yan bora hata awa heslb wangetoa majna hata ya tuliokosa tujue kuliko kutoyaona kabsa
0 Reactions
4 Replies
917 Views
hallow wana jf hongereeni sana mliopata loan pamoja na mliokosa tumshukuru mungu,kikubwa ni kwamba tunaenda kupambana na kipi tulichokibakisha,mimi nilitamani kusoma pharmacy hapo mwanzo lakini...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Hesabu ya haraka ya matumizi ni hii, 1. Safari za town kwenda na kurudi 600/10days. 2. Weekend club 40000@wiki. 3. Kuhonga mwanamke pesa ya saloon 20,000@wiki. 4. Nguo mpya ukija 50,000. 5...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Man apex 2pia maishu yote ya muccob 2jiandae vipi? Lakini ume win mkopo? Achia contact yako au fb name yako kwa mapana zaidi,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo kwenye kivuko cha wenda kwa miguu barabara ya Kawawa maeneo ya moroko na kanisani kuna wanafunzi wameshika vibango wanasimamisha magari watu wavuke
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni shule ya sekondari ya MANYARA ambapo mabweni yote yameungua na chanzo bado hakijajulikana. UPDATES TO FOLLOW. SOURCE: RADIO SUNRISE.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Baada ya ishu za tcu na helsb kupita sasa ni muda wangu wa kuhamia majukwaa mengine kwaherini wadau
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in Dar es Salaam) The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing short course training...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
INAKERA AISEE! UNAPOAMBIWA NA BOSI WA KITENGO ETI MAJINA TAYARI AFU WEB HAIFUNGUKI.BORA WANGETEGENEZA NAMNA WATUTUMIE KWA SMS MAANA WEB YAO MAWAZOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!! AH!!!!!!!!!!!!!:bolt:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom