Baadhi ya wadau wa elimu wanadai serikali ime-introduce mfumo wa majibu ya kuchagua katika mtihani wa taifa darasa la 7 ili ipate wanafunzi wanaojiweza katika shule zake, wazipandishe chati na...
vip kwa wale watakaotaka kubadilsha faculty hizi registration zinazofanywa vyuoni hazitoleta usumbufu maana unakuta form zmeeandikwa mpaka programme yako unayosoma
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu imetangazwa kuwa watatoa upya list ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa kugawa kama ifuatavyo
BOOKS & STATIONERY
MEALS & ALOWANCE
FIELD ALOWANCE...
ndugu zangu wanaJF, mm nimepata koz ye BSc in Petroleum Eng. At UDOM na nimepewa mkopo Tsh 3882500/=, na ADA YA KOZI NI 1200000 please ni sawa na %ngapi?
Kuna rafki yangu kwenye account yake ya TCU wamemwandikia yuko admitted in "PORTUGUESE SCOLARSHIP OF MOZAMBIQUE :MEDICINE" lakini jina lake limetoka kwenye bodi ya mkopo na facult ya BACHELOR OF...
Kwa mtu mwenye tarifa zozote wanafunzi wanaosoma vyuo nje bodi inasemaje kuhusu hili coz kama mjuanvyo vyuo mbalimbali vimefunguliwa na masomo bila peasa ni ngumu jamani,,,,,,,
Habari zenu wakuu,mi ni mmoja wa watu ambao jina langu sijaliona ktk majina yaliyotelewa na bodi,hivyo basi naomba kuuliza kwa yoyote mweny taarif juu ya mustakabali wa waliomba kupitia chuo moja...
Ndugu wadau wa Jamii Forum ninaomba kujua wapi yanapatikana matokeo ya wanachuo ambao ni continuing na ambao walikosa mikopo hapo awali na baadae waka appeal.Mwenye jipya kwa hili...
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU MIMI NI MWANACHUO MTARAJIWA NINGEPENDA KUJUA WAKATI HALISI WA KUWASILI KWA MIKOPO VYUONI HASA CHUO CHANGU ST. JOSEPH KWA YEYOTE AJUAYE:biggrin:
WAALIMU WALIOKUA KWENYE MGOMO NCHINI KENYA WAMEFANIKIWA KUPATA WALICHOKOTAKA KUTOKA KWA SERIKALI LAKINI WALIMU WA TANZANIA WAO WANASALITIANA WEBYEWE KWA WENYEWE JE TUTAFIKA?
HABARI ZA MITAA...
KAMA MTU ALIOMBA MKOPO NA FACURTY YA PRIORITY NA PIA ANAVYO VIGEZO VYOTE, BT JINA LAKE HALIKUPA
TAtiKA POPOTE PALE, JE WAPI AANZIE AU NDO AMEKOSA KABISA NA AKIPANGE MWENYEWE...
kwa kweli no jamani. . .nimeapply round ya kwanza pamoja na kuwa naqualify for kozi kama nne ckupata yeyote....
nomeaaply sercond round lakini mpaka leo kimya...empty. . .eti IN PRORESS . . .asa...
HABARI ZENU WANA JUKWAA ETI NINGEPENDA KUPATA UHAKIKA WA NILICHOKISIKIA KWA YEYOTE AJUAYE KWAMBA YALE MABILIONI YA WALALAHOI,WATOTO WA WAKULIMA,WANANCHI WA KAWAIDA,WASAKATONGE YALIYOKO HUKO...
Jamani nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu au amepata Join instruction ya hiki chuo na cost zingine anisaidie. coz ukichek kwenye website yao hakuna vitu hivyo. asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.