Salam wadau
Mimi ni mtanzania, pia nina Shahada ya Pili katika Management&Administration na pia najishughulisha na shughuli mbalimbali za utunzi wa vitabu na majarida ya kitaaluma (Academic...
Mi, nimtoto wa mkulima ila nimepata post ifm computer science na sina uwezo wa kujilipia pia kozi yenyewe nackia haina soko, nifanyeje? Naombeni ushauri wakuu.
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in Dar es Salaam)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on "DATA...
sijaona taarifa yoyote kwenye media zetu kuzungumzia semina za usimamizi wa mtihani wa drs 7 kuanza leo ambayo wasimamizi wake ni baadhi ya walimu wa sekondari, walimu wa msingi ambao...
Three bells are set to angle at unterals of 15 mins, 20 mins, 24 mins. If they are started together, how many times they are going to ring together in a period of 1 week.
Jamani waliokuwa wanatafuta scholarship za masters na PhD sio muda wa kuchelewa ingia www.moe.go.tz na hapo utapata web nyingine ya namna ya application kwa commonwealth's hawa jamaa walichukua...
Habar wadau ninaombeni msaada jinsi ya kuweka page numbers katika kazi ukianza na roman numbers page za mwanzo na hizi za kawaida zilizozoeleka kwenye main body yake na pia kuinsert table of...
Habari zenu wanaJf naomba ushauri wenu,nimechaguliwa UDSM sasa nafikiria kukaa nyumbani au hostel kipi kitakuwa bora na mimi nyumbani ni Sinza(kwa wanaopafahamu)....naombeni ushauri wenu
kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni...
Ifi ii kichwa angu imelala au n muhas ndo imelala. Mbona hiyo majina ya pipo silisochaguliwa na tcu kwenda muhas siioni kwa net ya muhas. Ebu saidia hii kichwa ndugu. "che pasua sana kichwa ati"...
Wanajf naombeni michango yeni nikijua kua umu ndani kuna wadau wa elimu pamoja na wasimamizi wa sekta nzima ya elimu.Kuna tabia ambayo inazidi kukua na kuenea kwa kasi sana miongoni mwa wanafunzi...
katika Application zangu Nilifanya Bila Kushauriwa
nilianza Na
Ardh cozi 3
IFM cozi 3
na SAUT cozi 2
Maajabu nimechaguliwa ya Mwisho yaani SAUT.... kilichoniudhi IFM wamekomba mpaka Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.