Nmechaguliwa st.john unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi...
Wanajamii habari zenu..!
Mi nimechaguliwa chuo cha DUCE.!
Sasa nahitaji kufahamu natakiwa niwe na kiasi gani wakati nikisubiri uelekeo wa HESLB..!!
NB:-Mbali ya School fees,na...
wizara ya elimu mtavuna mlicho panda,mwezi uliopita mlizifunga shule zenu sasa chakushangaza mmetoa ratiba za mock form two ambayo inaanza tar 17,ambayo watahiniwa wataijua shule...
Hili tangazo lipo kwenye website ya chuo, ingia sehemu ilioandikwa ALIS utaipata Not ARIS!
Admission Letters for First year students for Academic Year 2012/2013 will be available from 12th...
Kwa utafiti wangu uliokamilika hivi majuzi nimegundua kua, wamiliki wa shule hii ya Nangwa secondari na Jeffery academy ya Arusha , kuna siri kubwa nyuma ya ufadhili wa kwa watoto wa wafugaji wa...
This is the most common myth taught to
children since early ages that we have
five senses. Which means our brain can
interpret five types of signals i.e. sight,
smell, touch, sound and taste...
Jama naomba kuelimishwa katika hiki kitu bima ya afya kwa wanachuo hususani faida zake kwa mwanafunzi kwa sababu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambacho ni cha serikali katika chuo hiki...
Wadau habari,mimi ni kijana niliyemaliza form four mwaka 1998 na nilipata division 3,baada ya hapo nikakimbilia nje katika kujaribu kupigania maisha,katika kukaa kwangu kote huko!sikufanya...
kwanza kabisa nawasalimu wote wana JF dhumuni langu leo hii ni kuwaelezea wenzangu wanaoanza chuo kuhusiana na kukosa mkopo.ninachowashauri jamani hata ukikosa mkopo usiache kusoma jitaidi hata...
vp wapendwa wangu....leo nawaulizeni ni chuo kipi kinachoongoza
kwa kuibiana vitu kama LAPTOP,,VIFO VYA GHAFLA na mambo
mengine yanayofanana na hayo hapa AFRICA?????//
jamani mbona mie nimekua admitted hapo sua lakini jina langu halionekani kwenye website ya sua,au tcu ilikua danganya toto?tafadhali wale wanaojua lolote tutoane wasiwasi
Wanajukwaa naomben msaada. Nina friend wangu ananisumbua. Yeye ali make aplication for second round na akaandikiwa adimited jordan university colege. Sasa akichek acount za watu wa first round kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.