Vp wakuu,kwa wale wenye tatizo kama langu la kutoona majina yao kwenye web ya muccobs,tujuzane coz kesho naenda kula sahani moja nao,so kama kuna aliyefuatilia hilo la mucob tujuzane ili anipe...
Among of factor inputs as mentioned with the currently accepted criteria are
LAND
LABOUR
CAPITAL and
ENTREPRENEUR.
,...what i wish to know is that,.can TIME be added as a factor input,.I propose...
UNIVERSITY OF DODOMA
DEPARTMENT OF STATISTICS
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of...
Hawa watu wa bodi ya mikopo ni watu wasiojua umuhimu wa kutoa taarifa zao mapema kwa wahusika.Hata kama kuna waliofanya makosa isiwe sababu ya kuchelewesha kutoa majina.TCU wameongeza muda mpaka...
Wapendwa, huu ni muendelezo wa post yangu ya (Ushauri wa Bure kwa waendao UDOM) pamoja na ile ya (wewe wa UDOM soma hapa fasta).
Kwa umuhimu wake, nimeona nizitenge ili zipate kuonekana, pamoja...
Nilikuwa nakesha kwenye website yao lakini sasa hata naingia mala mbili tu kwa siku kabla sijalala na kabla sijatoka kitandani hii inatokana na kuzorota kwa website hii kutokuona HABARI MPYA HASWA...
Wana Jf naomba kuwashirikisha kuhusu utata uliopo kwenye update ya fee structure ya chuo cha SAUT,iliyoonyesha ulipaji wa ada kwa miaka 4 kwa degree,Je?inamaanisha tutakao anza degree tutasoma...
jamani sisi waTz tutafanya madudu hadi lini,yaani kwenye tcu guidebook wameandika kozi ni 3yrs kumbe ni 4yrs,kweli waungwana kitu sensitive kama hicho watu wanafanya mistake,kweli hii ni bongo yetu
huyu jamaa tulijuana kipindi tupo A-level pale tabora boys kwa sababu wote tulikuwa vichwa sana darasani,matokeo ya form six wote tulipata division one ya point 3 na tulipata scholarship za kuja...
Nimechaguliwa SAUT-BUKOBA branch sijawahi kufika uko na wala sifahamu panafanana vipi. msaada kwa wengine ambao kama wamechaguliwa uko au ata kama kuna mtu ndugu au rafiki amechaguliwa uko...
KAMA NI KAZI WALIM TUNAYO INAKUWAJE MALIMU KUONGEA NA MWANAFUNZI KAMA WANALINGANA"MWANAFUNZI ANAULUZWA UNASABABU ZOZOTE ZA KUMJIBU MLINZI VIBAYA? JIBU ANALOTOA NI 'yes of COURSE' BANA NAONYESHA...
Jaman kama kuna mtu anapewa mkoo na hawa jamaa anyoshe kidole na anhakkshie au ka kuna mtu analjua fresh bac naomba anpe detail zake mana cjawaelewa hata kama ntawaelewa bac cjawaamini.
jamani wana jamvi naomba kujuzwa maisha yapi na ghali kati ya kuishi gheto na kuishi hostel. Tangu nimeanza kusoma sijawahi soma shule za binafsi i usualy study government schools so utanielewa...
HABARI ZENU WANAJAMII WENZANGU .
Naombeni nafasi nami niwasilishe hoja hii ndani ya jukwaa hili la elimu lenye heshima kubwa ..
Leo nilikuwa maeneo ya ofisi za TCU hapa jijini Dar es...
Katika hali isiyo ya kawaida,karatasi za majibu za wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria wa UDSM zimeibwa zikiwa kwa Mhadhiri wa somo. Karatasi hizo za somo la Legal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.