"HESLB WAMEGOMA KUTOA FEDHA ZA TP KWA WANA-MUM.TUKUTANE MTAMBANI KESHO IJUMAA [7/9] SAA 2:00 ASBH TWENDE BODI.WAARIFU WALIO DSM,MORO n.k. BY MUMSO-..."NI 'SMS' KWA WANA-MUM WA 'EDUCATION'
(BAED&...
Jana nimepata meseji hii Dear customer, your estatement password for the month of September for the account ending with 83400 is 323240 na nikicheki ni kweli account number yangu inaishia na...
Jamani mwenye joining za IFM na Medical atusaidie wengine tunatokea vijijini town mara moja moja sana. So ambaye ameshazichukua plizi tu uplodie ili kupunguza usumbufu maana kwenye website...
First selection nilikosa nikajaribu secound round nikawa admitted,nimeangalia kwenye website ya chuo nilichoomba nimekuta tayari majina ya secound round selection yapo,nikachukua jukumu la kupiga...
Poleni na kazi na mihangaiko wan JF. mimi niliomba chuo na kozi mwaka wa masomo 2012/2013, kutokana na masharti ya mkopo inaonekana kipaumbele kipo kwenye baadhi ya kozi.kwa wale wa Arts...
Habarini wadau,naona 1st year wengi mpo roho juu kusubiri matokeo ya HESLB,tuendelee kuomba mambo yawe mazuri.Jamni wadau naomba kupata details za hiyo course ya B.com in Finance itolewayo UDOM,je...
Hapari zenu wana jf! Naombeni mnisaidi mimi jina langu halionekani web ya chuo na ni first round,jamani waliopewa feedback na tcu tujuzane zaidi,kwa wale wa mucobs nao wapo kwa yaliyonikuta?
jina langu lilitoka kwenye second selection, na mm nikaomba tena fasta st joseph nikaambiwa nipo admitted.sasa leo mist wametoa majina na mm jina langu naliona huko, nikiwapigia tcu kwa msaada...
Nimepangwa TEKU-MBEYA,kuishi wapi ni afadhali,gheto au hostel?. Hostel wanataka ulipe sh.1000 kwa siku 1,zidisha mara siku 240. Jumla sh.240000(nadhani hii ni gharama ya semester nzima). Kama kuna...
tu consider kichwa cha kawaida tu cha denti syo genius wala kilaza,kusema ukweli tujuzane ni kozi ipi inayoongoza kwa mwanafunzi kudisco na kupata sup nyingi udsm na vyuo vingine
Imebainika kuwa asilimia 80 ya shahada hizo si halali. Walakini wa shahada hizo, umebainika kupitia utafiti uliofanywa na Dk Eliamani Sedoyeka wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) cha jijini...
Wadau habari zenu? Naomba kufahamu kuhusu computer engineering, inadeal na nini na soko la ajira hapa tanzania na east africa as a whole! Nakaribisha maoni yenu bila kusahau wale wa ropokaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.