Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha...
8 Reactions
72 Replies
9K Views
Habari zenu wasomi? Huwa cku ya graduation inakuwa cku ya furaha bahada ya kumaliza battle ya muda mrefu,migomo,kukusa ela ya msoc,n.k machungu huishia ktk cku hiyo.ILA angalia graduation isije...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wapendwa mpaka hapa nlipo ma2maini yangu ya kuendelea na chuo yamekata,kutokana na kuona kwenye profile nimeadmited chuo flan lakn jina halipo kwenye web ya chuo,nimesumbuka kuwapigia chuoni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
sorry,,,mkopo ukitoka unijulishe kupitia 0658 204 496,,,nasema tena soory.MUNGU AKUBARIKI WEWE UTAKAYENIJULISHA,,,Amen
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF natanguliza salaam. Naomba kama kuna mwana JF anayesomea au kuishi India anitumie PM au email rakeyescarl@yahoo.ie Natanguliza shukurani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni masikitiko makubwa kwamba mpaka leo hakuna taarifa ni kwa nini mishahara hapa UDSM main campus hakuna. Wenzetu UDOM, SUA, MU, ARU vipi na ninyi bado????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UNIVERSITY OF DODOMA DEPARTMENT OF STATISTICS SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in MWANZA) The Department of Statistics, School of Mathematical...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nimengiwa UDOM kujiunga first year this year BSc in Petroleum Engineering. Naomba kufahamu hivi petroleum Engineering at UDOM ilianzishwa mwaka gani hii kozi. Pia ningependa kujua zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ipi iko more valuable na nikafanyakazi vizuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
haya wale Watakatifu wa Yohana wote mliochaguliwa ingieni kwenye website mpate orodha nzima na maelekezo yote muhimu, shime mjiandae tar. 8 october tukaanze kula kitabu. HONGERENI SANA.:flypig:
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu napenda niulize kwa wenye ufahamu kuhusu hili,. Hivi kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kwa wanafunzi waliosomea masomo ya biashara na arts yaani EGM,HGE.ECA na HGL,HKL,HGK,KLF...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kudhihirisha ule usemi wa "Huwezi kushindana na Serikali" tangu jana kuna zoezi la kuhakiki vyeti (academic) kwa walimu wa shule za msingi na sekondari za hapa jijini Mwanza. Wakaguzi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jamani nilikuwa naitaji kujua application form na joining instruction za udsm nitazipata vipi?nimesikia znapatikana kwenye mtandao ila nmezikosa
0 Reactions
14 Replies
8K Views
mwenye joining saut songea Msaada Jamani
0 Reactions
1 Replies
993 Views
NATAMANI KUONGEA UKWELI ILA NAHOFU KUNA WATU WATANICHUKIA HUMU NDANI…… HEBU ANGALIA MAISHA YA HUYU KIJANA MWENZETU KUTOKA MOSHI VIJIJINI AMBAYE ALIKUWA NI MWANAFUNZI MWENZETU KATIKA CHUO CHA...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Asaalam wanajf..... Kuna best yangu kachaguliwa PR ila anataka kuchange kwenda HR ila mi nimemshauri asichange ,,,,, vipi km ni wewe ungemshauri vipi?????
0 Reactions
0 Replies
964 Views
USHUHUDA ULIONITOA CHOZI MBELE YA AKADAMNASI.........SOMA ILA USILIE NAIKUMBUKA HII SIKU AMBAYO MWANAUME NILITOKWA NA CHOZI BAADA YA KUPATA USHUHUDA HUU KUTOKA KWA MDAU NINAYEMJUA KABISA NA...
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wanaJF!Nnaomba kujua utaratibu wa udahili na ufadhili kwa wale walio'apply' kwaajili ya masters' na phd katika chuo /taasisi ya teknolojia ya MANDELA kule ARUSHA!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom