Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

NATANGULIZA HESHIMA WAKUU WENZANGU: Jmn hv hii koz utakapoisoma baada ya kuhitim kidato cha nne je baadae unaweza kujiendeleza? Na baada ya hapo utakuwa na cheo gan? Na je? Mishahara yao ni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
naombe msaada wajoin maana kwenye web yao mm sion
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wanafunzi mliochaguliwa na TCU na mnaosubiri mkopo tegemeeni kupata au kukosa mkopo kwasababu LOAN BOARD hawaeleweki!!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau heshima yenu! Naomba mnisaidie haya yafuatayo, kwanza naomba tofauti ya hizi university programes kati ya: BA. Arts in Education na BA. Arts with Education. Pili, hivi mtu aliyesoma digree...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
naomba kufahamu ada za muhas kwa diploma
0 Reactions
0 Replies
830 Views
kwa wale wana saut songea registration lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka...
4 Reactions
391 Replies
57K Views
Jaman watu woote mliochaguliwa kwny vyuo vikuu tz na nje,,kwa wale fresh frm skul plz take cr na uendacho kufanya, mi ni mzoef chuon kwn np mwaka wa 3 sa iv,ili ictokee ukaja kujuta plz fanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naombeni mnijibu wanajamii kwani sielewi kama inahusu mambo ya afya au vp
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Wadau jamii family ma eng na watalajiwa eng naombeni mchango wa mawazo kuhusu mada tajwa hapo juu.nawakilisha
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nimeona ni vema kuwaeleza ndugu zangu walioko chuo na wanaotarajia kuingia chuo mwaka huu kuwa pesa tunayopewa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu(heslb)Kama mtu umebahatika kupata utailipa kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
shule hii hipo musoma haina madawati na madarasa inamadawat 14 tu..... hii ni hatari sana SOURCE: ITV NEWZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Common sense dictates hivyo, toeni loan allocation wazazi wetu wajue la kufanya in any case one needs to sell whatever he/she has to send a child to school.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tembelea web ya chuo: http://udom.ac.tz/index.php/list-of-students-selected-to-join-undergraduate-programmes-2012-2013
0 Reactions
191 Replies
51K Views
SELECTED CANDIDATES FOR UNDEGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013 The management of SUA is pleased to inform the following candidates that they have been selected to join various...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Hamjambo wana jf! Kuna tetesi nimesikia kuwa udsm imepitisha sheria kali kwa wanafunzi wake sasa hakutakuwa na ule mtindo maafuru wa kubebana! Endapo itabainika wote walioshiriki watatimuliwa chuo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana Jf, nimeulizwa swali mara tatu sasa na wanafunzi na wazazi wao wakitaka kujua kama ni kweli kwamba mtihani wa kidato cha sita 2013 utafanyika mwezi may(5) kama ilivyokuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MUHIMBILI UNIVERSITY - MADAKTARI NA WATAFITI WA AFYA TUNAOMBA MSAADA WENU Wakuu naomba msaada wa tiba ya malaria sugu tangu ujana wangu hadi leo nakaribia 50yrs nimekuwa nauguwa na kutibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kumeibuka sana tabia ya ajabu humu jamvini ya watu wachache kuponda baadhi ya vyuo na kusifu baadhi ya vyuo bila kutoa sababu zinazoeleweka.siamini kuwa mtu aliefika chuo kikuu alieonja UE bado...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
ni shilingi ngapi..natakiwa kutoa kukamilisha usajili jumla na hosteli,,?????SUA ni kama kaki 3 ivi...mie naogopa coz nipo DAR lakin life langu la kula mpaka nipige DEBE ni issue kichz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom