Jamani wasomi nisaidieni mimi kwenye akaunt yangu ya TCU nimeadmited chuo flan lakini kwenye website ya chuo jina langu halipo...na nina point 7 hapo inakuaje ndugu zangu?naombeni ushauri.
Habari zenu jf,mimi nimechaguliwa kujiunga na mucobs university lakini cha kushangaza jina silioni kwenye web ya chuo,hivi nifanyaje?nimechukua ha2a ya kuwapigia TCU lakin sim haipokelewi na...
Je ndio mimi pekee jina halionekani web ya chuo?je nifanyaje ndugu zangu?
Nimeangalia web yao nikakuta waliopangwa kwenye facult niliyopangiwa na TCU ni 17,lakin awali guide book inaonyesha watu...
Habari wana jamvi,
sina hakika kama ninapost kwenye jukwaa sahihi ila nina shida ambayo ningependa mawazo ya wanajamvi wenzangu humu.
Kifupi mimi ni mwajiliwa wa chuo fulani cha binafsi hapa...
Kikubwa ni swala zima la Hostel mm nimechaguliwa pale Bcs Building Economics, so kikubwa nauliza possibility ya kupata hostel kwetu sisi 1st year kama tunaweza kupata, au kama ni vigumu kupata ni...
jamani nimepata nafasi ya kwenda
kusoma msumbiji sasa kabla sijaenda
ningependa kujifunza kireno ambacho
ndo lugha yao,JE NI WAPI NAWEZA
NIKAJIFUNZA KIRENO KWA HAPA DAR..
mi Napiga simu Naongea Kiswahili Lenyewe linanijibu Kiingereza ...
na mimi Kwa Makusudi Nimemnyooshea Kiswahili kwa Muda wa Dakika Kama 15 hivi...
ikabidi aamue Kuongea Kiswahili ha ha ha ha...
wana jamvi mnishauri niliwahi kuajiriwa katika wilaya moja hivi serikalini nikaacha kazi kutokana na matatizo yaliyonikabili kipindi hicho ila nikaja kutuma maombi tena nikapata muhimbili na...
ndugu wanajamvi napenda kuuliza kwamba mbona majina ya wanafunzi tuliochaguliwa kujiunga na UDSM kama profile zetu zinavyo onyesha kwa kutumia vyeti vya diploma hayaonekani kwenye website ya chuo...
Monin Jf memberz..
jaman mim naomben msaada wa kujuzwa kuhusu iyo course hapo juu.
wat i want to knw z about wat it deals with n is it marketable in terms of employment?I'l also apreciate kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.