jamani vipi vyuo vya uuguzi selection tayari kwa certificate? mbona mwaka huu siuelewi? mdogo wangu amemaliza form 4 ameombakilimo amekosa, ameomba uuguzi ndo hata hatujui kama selection tayari...
Nashukuru xana kwa wale wote amba wame2tangulia kieliemu na wenye xperience na maisha ya chuo. Binafsi nimejifunza mengi xana kupitia hao watu kutokana na ushauri mzuri kupitia ushuhuda wao...
Wana ukumbi.
Kwa hivi sasa kuna mengi sana yanayotokea huko Tanzania Bara na kwa mwenye akili ataona kikubwa kilichopo ni kukosa Elimu kwa watu wengi na kuingia kwenye Ushabiki pasi na kujua...
Jamani n new member pia first year at udom, but nahitaji kujua about my course ( commerce in international business)...........? Imeanza lini pia ipo wapi na wapi? Soko la ajira je?
The government has been advised to
fast-track the signing of a Memorandum
of Understanding with the Russian
government to enable more Tanzanian
students secure scholarships to study in...
Tume ya vyuo vikuu Tanzania maarufu TCU,imethibisha kuwepo kwa majina ya 1st selection ambayo hayajafika vyuoni mpaka sasa.
Kwa wale wenzangu ambao wanatatizo kama hili,tumeambiwa tusubir tusiwe...
Ndugu sisi ni wamoja, jamani mwenye joining instruction za Iringa University naomba anitumie webset au kwenye e-mail yangu kama ifuatavyo:- pptz16@yahoo.co.uk
nitashukuru nikitumiwa maana...
I have admitted by TCU at IFM..i'm going to parsue Bsc in insurance and risk management...hivi hii coarse kuna uwezekano wa mtu kujiajiri baada ya kumaliza?..na vipi kama ukiajiliwa ina maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.