Nawapa polee sana mliochaguliwa MZUMBE UNIVERSITY,,,chuo hiki ni kizuri LAKIN likzo zao ni ndefu kichizi..mfano first year tulifunga mwezi wa 2 wamefungua mwezi wa 7 mwaka huu,,,afu 2nd year...
katika selection za first year 2012-2013 college of bussiness education dar es salaam campus wametoa majina ila cha kushangaza facult ya bachelor in procument and supply management wametoa watu 29...
Jamani waungwana nawaomba mnifahamishe kuhusu utolewaji wa vyeti vya ardhi university kwa wahitimu tuliomaliza
chuo ardhi university kutoka 2007-2010 umefikia wapi? tafadhali kwa yeyote mwenye...
Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round...
1)direct cost inayotakiwa ilipwe ni bei gan?
2)ukiandikiwa no loan,unatakiwa uende na shiling ngap kama kianzio cha tution fees.
3)bei ya msoc ni shilling ngap(namaanisha msoc wa kawaida na sio...
Wakuu naomba msaada. Nataka kufanya dissertation yangu ya chuo. Naunganisha sekta nne
DONOR - BANK - GUARANTOR - SME
Nawaomba mnisaidie title au hata research problem inayowaunganisha wote...
hebu nisaidien,
nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
Nimepata taarifa kuwa nimechaguliwa duce lakini nikijaribu kutembelea website yao niakikishe haifunguki (www.duce.ac.tz). Je, kuna njia mbadala? Kama ipo nisaidieni jamani!
Katika kile kinachoonekana kama udhalilishaji wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (hasa Kitivo cha Sheria),Mamlaka ya Vyuo Vikuu Nchini almaarufu kama TCU imewapanga wanafunzi wenye Daraja la pili...
Habari zenu vijana,
Bila kupoteza muda,kwa wale ambao wanajaribu kuingia kwenye akaunti(Sio za Bank) zao za TCU kucheki matokeo yao ya chuo,waingize index zao kama kawaida lakini password waweke...
Wadau,
Kama kuna waliojisajili kwa maombi katika chuo cha IFM kwa course ya Banking and Finance naomba tujuzane kama kuna update yoyote. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.