..kwa wale walomalza UDSm June 2012 ,graduatiön date imerudishwa nyuma hadi 27th October (cluster A-Postgraduate,CASS na Law) othr courzes ni 3rd Nov 2012 (coet,conas,Udbs etc)
..u have to...
natafuta mtu wa kukaa nae gheto...mimi ni mvulana niliyechaguliwa kujiunga UDSM 2012/13 B.com in BANKING $ FINANCIAL SERVICES....nina uzoefu wa kukaa gheto tangu shule ya Msingi,,,o level na A...
Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi...
bandugu tusaidiane mchakato mzima wa Hostel hapo mabibo maana wengine 2mepangwa Udism afu mjini ndi vile ha2jawahi kufika!
Msaada tafadhali kwa anayefahamu!
Kumekua na mada mbalimbali hapa juu ya ubora wa vyuo na ubora wa output vyao bila ya kuwepo na mjadala wa chanzo na suluhisho ya nini kifanyike.Napenda kuwasii sana wanajf tuachane na mada kama...
Ndugu zangu, nimefanya utafiti na nimegundua wanafunzi wengi wa UDSM wa first degree na masters wanaongoza kufanyiwa reseach na kuandikiwa thesis mtaani. Je hii inatokana na nini?? NAOMBA TUJADILI...
jamani wadau mwenzetu huyu katika kuomba vyuo akaweka na open university .na bahati mbaya kachaguliwa huko.yeye ni form six liver.sasa afanyaje jinsi ya kupata chuo kingine
Inatakiwa ifike wakat selikali itambue kuwa inapeleka elimu pabaya kutokana na vipaumbele(priority) wanavyoweka ili watu wapate mkopo na hiyo imepelekea wa2 wachague kozi ambazo hawana vipaji...
Recession: What Does It Mean To Investors?
March 19 2010| Filed Under » Bonds, Economics, Retirement, Short Selling
Comments 0
Email
Print
Reprints
Feedback
When the economy...
Hatimaye baada ya subira ya mda mrefu mambo yako wazi. Ze dude umekuwa wa muhimu sana kwa kutupa info za awali na kuahidi kutupa zilofuatia. Hauna ubinafsi nakupenda kwa hilo, ulitoa tokeo la DSM...
Jaman naomba msaada,kuna jamaa yangu ame b admitted in bach of arts with ed at josiah kibira ila haelewi tarehe ya kuripoti,chuo kinapatikana wapi,website ya chuo na jinsi ya kupata joining...
ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm
habari wana jamvi. . . .nimechaguliwa udom kozi ambayo sikuichagua,wala chuo chenyewe sikukichagua,ila nataka niende hapohapo waliponichagua,je nitacomfirm vipi au nikikaa kimya wataelewa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.