Wanajamvi naomba kuuliza hivi kama umekua admitted katika Chuo chochote kile ni lazima u-confirm kwenye akaunti yako ya TCU na kama usipo confirm ni nini kinaweza tokea? Naomba msaada wa maelezo...
Ndugu wanajf wenzangu nimekwishatafuta chuo hicho kwa hapa nchini bila mafanikio.Tafadhali kwa anayefahamu naomba anisaidie ili niweze kufahamu inapopatikana elimu hiyo ya kuendesha mitambo hiyo...
kwa wale wanaodhani kua zile herufi za mwisho kwenye matokea ya o level ni grade ya mkopo sio sahihi.Kama ukiangalia matokeo ya watu wengi o level hayaja kamilika sababu ile space ni too short...
Wandugu naombeni msaada kuhussu tcu mimi nimesoma diploma ya community development na nimeomba kujiunga na vyuo,lakini nimeangalia kwenye profile yangu,selection status inaonyesha Not yet...
jamani ajabu na kweli jamaa alieomba nafasi ya tutorial assistant (lecturer) katika chuo cha mwalimu nyerere memoral academy(MNMA) matokeo yametoka angalieni (PUBLIC SERVICE RECRUITMENT...
Source wa hii news ni mshikaji wangu wa karibu alienda leo board kuulizia abt hilo suala.bt hii inawahusu wale tu waliowekewa herufi A-k,kama umewekewa herufi l,m,n,o,p na r be patient kuna error...
.Hope wazma wa afya..Nimechaguliwa chuo cha sauti mwanza na TCU lakin kila nkifungua website yao sioni majina ya tulochaguliwa huko na tcu,nashindwa kuelewa na chuo wameandika kufungua tareh 14...
OLAS- mfumo huu wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (internet) ni mzuri lakini hamkufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanzisha utaratibu huu kwa sababu zifuatazo;
<1>% kubwa waTz wanaishi...
Mke wangu amepata nafasi katika vyuo viwili muhula wa 2013. Katika matokeo ya TCU amechaguliwa kozi ambayo hakuichagua kwenye mfumo wa CAS. Pia matokeo ya chuo ambacho hakipo kwenye mfumo wa CAS...
Tangu j. tatu walimu jijini hapa wanakaguliwa vyeti.niwaulizeni wana jf hili zoezi na kwenu lipo?wanakagua yafuatayo:cheti cha fm 4,ualimu,leaving certificates na result slips.sababu wanataka...
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia...
e bwana shwari kabisa sasa kama kawaida kule ughaibuni kama vipi join up kwa group ya facebook kwa group inayoitwa TAMOSE hapo mzuka utaenjoy na kufanya safari yako iwe na maana.adminstrator wa...
Division 3 kachaguliwa education(BAED) chuoni TEKU ada mil 1.6 .Vipi atapata mkopo kweli au ndo niuze shamba? Maana sijajua board wameweka vigezo gani kuhusu kutoa mkopo.NIJUZENI COZ NIMESHAANZA...
let say you have a formula
10101 x (X)
note:jibu linatakiwa liwe 6 figure
ambapo namba mbili zitakua zinajirudiarudia swali ni je formula hii ni sahihi if X ni single digit?(reasoning considered)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.