Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

HEPU SOMENI ATTACHMENT ILIYOKO KWENYE HILI TANGAZO,http://duce.ac.tz/images/Announcement/announcement_5.pdf najiuliza ni wangapi wamehujumiwa matokeo yao ya mitihani kwa kukosa umakini kama...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Wadau selection ya masters mzumbe- dar campus vp? Inatoka lini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Weekend waTanzania wenzangu, Natumaini mwaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Nimekua nikifuatilia jinsi wadogo zetu wanavyotaabika na masuala ya kutafuta na kupata vyuo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wana jf. . . .kuna mtu ameniomba ushauri katika jambo hili,sasa nashndwa kumshauri kwa sababu sijawah kumuona mtu akifanya. . .ni kwamba huyu mtu anataka kusoma degree na diploma kwa wakati...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
New
wadau wa university of arusha 2fahamiane hapa!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naombeni mnijuze kuhusu fee structure kwa coz ya masters of science of natural resource management, coz kwenye web ya chuo hawajaonyesha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eti jamani kati ya 'wildlife and management' na 'animal science' ni kozi ipi inayolipa(yenye ajira) hapa Tz.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Journalists from low and middle income countries are invited to apply for support for travel, expenses and registration to attend a major global conference on health systems research, to be held...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utusamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Jamani toeni loan allocation tuweze kujipanga kama mtu hakupata. Maana inaweza ikabidi mtu abadili kozi. Ni rahisi kulipa kozi ya 1.3 M kwa law UDSM, etc kuliko kulipa milioni tano medicine CUHAS...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
hi..... jaman naomba msaada eti ni kweli wanaosoma sokoine university wana nafas kubwa ya kupata kazi nje ya nchi..........?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa watu wanaofahamu Agencies wa vyuo vikuu mbalimbali vya China,Japan na Ukraine ambao wapo hapa Tanzania. Naomba msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wale waliopo mzumbe main campus please nisaidieni kwa hili ni lazima kwa mwaka wa kwanza kulala campus ya chuo au hata off campus ?
0 Reactions
1 Replies
965 Views
mwenye nayo ya mwaka wowote please naomba anitumie NIKOPI NA KUPEST au site gani naweza kudownload. shukran in advance
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Wakati wa ukoloni elimu ilikuwa ikitolewa kwa matabaka kwa kuzingatia rangi na hata dini. Tulipopata uhuru muasisi wa taifa letu mwalimu Nyerere alitaifisha shule zote zilizokuwa zikiendeshwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mujibu wa tovuti ya udsm tarehe ya kufungua chuo ni 1/10/2012.nenda ukahakikishe kwenye web yao sehem iliyo andikwa andikwa press release
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Sijui ka niko kwenye the right place. Nataka kujua tu how do I mention someone? Lets say I want to mention myself? Me370?
0 Reactions
1 Replies
824 Views
wana JF mimi ni new member ila ile nimeingia tu humu nimekutana na mada kuhusu mabibo hostel kwamba iwapo utapangiwa kuishi mabibo hostel basi ujiandae kuwa na tabia mbaya na chafu na hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inasemekana ukimya wa heslb ni kutokana na kucheleweshwa kwa pesa toka wizarani ingawa bajeti ilishapitishwa lakini kuna kigugumizi wizarani,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sio mbaya kama 2naweza juzana ili wa2 2anze maandalizi..kwamwenye tetesi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom