Inashangaza hawa jamaa wao wanasema eti admission letters znachukuliwa chuon,kwan kulikua kuna ugumu gani kama mngeziweka kwenye mtandao ili kila mtu aweze kuzipata kiurahc kama vyuo vingne...
Kesi iliyokuwa inawakabili wanafunzi 51 wa chuo kikuu cha Dar es salaam imefikia tamati baada ya kuachiwa huru n mahakama ya mkazi Kisutu. Awali wanafunzi hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya...
Jamani wana jf mimi ni kati ya watu waliochaguliwa kujiunga na chuo cha kairuki lakini jina chuoni halipo cha kushangaza ukienda chuoni wanasema rudi tcu ukienda tcu wanakwambia,ukiona jina chuoni...
Jamani chuo cha UKIRIGURU mwanza naskia wametoa majina ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na chuo hicho,
but wao huwa hawaweki matokeo hayo kwenye internet sasa naomba mwenye kujua ntapataje hayo...
IFM ina miaka 40 tokea ianzishwe na ilianzishwa na NBC kwa madhumuni ya kuwapata bankers wakushka nafasi mbalimbali ndan ya different institutions Hapa nchin!!! Mpaka sasa chuo kina wahitimu weng...
Mahakama ya Kisutu leo imefuta kesi dhidi ya wanafunzi 51 wa UDSM waliokuwa wanashitakiwa kwa kuandamana visivyo halali wakati wa mgomo mwaka jana. Kesi imefutwa kwa sababu upande wa mashitaka...
Wadau mimi nimechaguliwa kusoma course inaitwa "Human Nutrition" chuo cha SUA. Naomba kujua kama ina mahusiano na udaktari? inahusu nini? Je kazi ambazo unaweza fanya baada ya kuhitimu hio course...
Wale wanafunzi kwa makumi waliofukuzwa au kusimamishwa masomo katika Chuo Kikuu cha Dodoma( UDOM) wako mbioni kurejeshwa.Taarifa nilizonazo zinaonesha kuwa hali hiyo inafuatia kuonekana kwa...
Hawa jamaa wamepata matatizo na uhamiaji.
Kama unataka kusoma hicho chuo kuwa makini maana wamenyang'anywa licence.
BBC News - Deportation fears after university visa licence revoked
2011/2012 Course Unit Cwk GradePointRemarksStatusGPA
ED 243 English Teaching Methods 2 28.0 A 10.0 PASS Core
ED 240 Measurement and Evaluation 3 33.2 A 15.0 PASS Core
GE 240 Earth and Biotic...
Samahanini wakuu hasa wana udsm,naomba kuwauliza,ivi hii bachelor of arts in economics ni ngumu sana?maana nimeona matokeo yao kwenye web ya udsm,yanaonyesha 1st year kuna watu 101 wana supp,2nd...
Kuna ndugu yangu alisoma O-level hapa Tz,ila matokeo yake ya fm4 alipata 4,akaenda uganda akaendelea na fm5 na 6,six akapata 2,Je huyu anaweza pata chuo hapa na kuchukua degree? .Naomba ushauri...
Kwa wale waliomba kijiunga na chuo hiki, seletion kwa mwaka wa masomo 2012/2013 teyari imetoka kwenye website ya chuo.Tembelea site yao:University of Bagamoyo - Home Page.
Wana jamiiforums wenzangu naomba mnisaidie kupata jibu, nataka kujua Kijana wetu maalufu kwa Jina la KAYUMBA YOTE MAISHA na mwenzake EMMY wapo wapi watoto ambao walikuwa wanaeleza mwenendo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.