Natumaini mu wazima wa Afya. Poleni Sana wenzangu walio dhaifu kiafya.
Naomba Mnitoe tongotongo wadau wangu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Usajili wa Chuo cha Ufundi. Lengo langu lilikuwa...
Mimi ni Mtanzania nimesoma kwa kiasi kufuta ujinga tu ila nina tatizo kubwa katika uongeaji KIINGEREZA na shughuli zangu zinahitaji sana kuongea KIINGEREZA
Nimejaribu kufuatilia Kwa jamaa...
Habari za muda huu wanajamvi poleni na ujenzi wa Taifa,
Rejea kichwa cha habari tajwa mimi nilipata changamoto niliyowahi kuileta hapa wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Je, naweza...
Naandika kwa masikitiko sana, namna sipati msaada wowote hapo loan board tawi la mwanza.
Tupo Katika dunia ya sayansi na teknolojia iliyoendelea, leo hii mnaaaga nyumban kwenda kazini kukaa...
Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama...
Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa.
Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
Habari zenu wakuu.
Vipo vitabu vingi ambavyo unaweza kusoma lakini leo naomba niwape list ya vitabu kumi na mbili ambavyo kwa upande wangu nadhani ukivisoma na kufuata maelekezo utaweza kubadili...
Habari kwenu nyote,
Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna...
Kuna hizi shule zinazojiita 'international school' ambazo ada yake ya chekechea inaweza fika milioni 12 kwa mwaka n.k na wanatumia mitaala ya nchi za nje.
Na sijawahi kuwasikia katika shule bora...
Msaada wa ushaur wa haraka unahitajika kwa wataalam na wenye uwelewe ,na uzoefu.
Mdogo wangu kachaguliwa Udsm chemical ,na architecture ardhi,nataka kujua bora aconfirm IPI ,
Chemical engineering...
Elimu ya msingi ni darasa la kwanza mpaka darasa la nne basi kuanzia hapo ni mtoto akue tu!!maana wanaowafundisha wanahitaji kufundishwa je wanaofundishwa na wanaohitaji kufundishwa wataelewa?
Mpe...
Kwamatokeo yangu form 4 wakuu nilimaliza mwaka Jana nakupata division 2 point 20 yani BIOLOGY ,B, CHEMISTRY ,C, PHYSICS ,C, ENGLISH ,C, ILA MATH ,F, nime apply clinical medicine vikiwemo vyuo vya...
Hello wakuu,
Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.