Habari wana jf,
Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?
Pia naomba kujua kama bodi ya...
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
Habari za mida hii wadau,
Niende moja kwa moja kwenye mada kwa wale wanaojiandaa kufanya pregatii tr 31 July tupeane uzoefu kidogo na kwa wale waliokwisha kuifanya usisite kushea experience yako...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti...
Ndugu wanaJF's, kuna hiki chuo kinachoitwa Cathloic University College of Mbeya(Cucom) basi kwa hivi kinavyofanyiwa matangazo, kijana wangu amevutiwa mno na chuo hicho.
Binafsi katika tafiti...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,
Nilikuwa mwanafunzi takrinani miaka 20 nyuma na wadogo zangu wapo shule kulingana na system ya elimu ya Sasa inawaandaa wanafunzi wengi...
MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu.
SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
Habari zenu jamani. Naomba mnisaidie kujua KIPIMO cha maumivu kinaitwaje kitaalamu? Maana inasemekana kuna tofauti ya maumivu mtu akipigwa kwa hasira na akipigwa kawaida.
Asanteni.
Habari wadau,
Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
Wakuu habari yenu,
Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C.
Sasa...
Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.
Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.
Hapo kwenye...
Kuna shida ya kupata control number kwa wanaosajili undergraduate mikopo ya elimu ya juu. Sijui shida ni nini. Baada ya ku confirm jina na kuweka details zinazotakiwa, system haileti control...
Smahanini jamani, nilikuwa naomba mkopo wa elimu ya just Sasa kwenye kukagua partial academic transcript yangu ya diploma nimekta muhuri aujapigwa vzuri haiwez kuniletea shida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.