Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau naona E commerce inakuwa zaidi na zaidi ila sasa cha kushangaza ukifanya biashara online na bahati mbaya ukalanguliwa hakuna sheria ya kukutetea.Hii imekaa vipi...au zipo ila mimi sizifahamu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau,kama mnakumbuka tcu walituambia deadline ya kufanya registration ni tar 4/07/2012 saa 00:01,sasa cha kushangaza deadline imepita ila wenyewe bado hawajatoa update ya kitu chochote...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
LiveLeak.com - Foot Launched Glider
0 Reactions
0 Replies
745 Views
hivi ndo likizo gani mnazowapa wanafunzi wetu, yaani watoto wanakaa wiki mbili halafu wanarudi kusoma wiki 2,then wanfunga tena, This is totally insane!Kwa taarifa yenu watoto hawasomi na waalimu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku moja Bahlul aliingia katika Qasri ya Khalifa na kukuta kiti chake tupu aliona hakuna mtu wa kumzuia, hivyo alikwenda moja kwa moja akaketi juu ya kiti cha Khalifa. Walipotokezea...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
TCU kwa wakati huu imevikwa jukumu la ku-control elimu ya juu Tanzania. Mojawapo ya kubwa wanalofanya ni ku-harmonize viwango vya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vingi nchini. Hili ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini rufaa mbali mbali za wanafunzi wa kidato cha 4 na 6 pale NECTA. Lakini kwa miaka kadhaa naona matokeo yao ya rufaa kuwa vile vile (matokeo hayabadiliki). Ni kweli...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS University of Dodoma College of Natural and Mathematical Sciences School of Mathematical Sciences Department of Statistics The...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Top Foreign Aid Recipients 2008 working on getting the 2010 & 11 Rank Country Aid received for 2008 1 Iraq 9,870 Billion USD 2 Afghanistan 4,865 Billion USD 3 Ethiopia 3,327 Billion USD 4...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wana jf mim nna kaswali kangu kadogo ivii kiwango cha mwisho cha elimu ni kipi u profesa au kuna zaidi ya hapo plz nijib
0 Reactions
4 Replies
1K Views
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu, Naomba niwaombe Watanzania tuwekeze katika kitabu kiitwacho IT ONLY TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE kwa kukisoma ipasavyo pamoja na familia zetu na kuyafanyia kazi kwa vitendo yale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi aliye somea EGM anaweza akasomea computer science na vyuo gani anaweza aka pata msaada jamani wajuzi asanteni!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wana jf nahitaj wnfnz wa iyo shule ya msing maweni tukumbushane na wana jf ambao walipata kupita ktk iyo shule !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
kama kicha cha habari kinavyoeleza hapo juu. hii scholarship imetolewa na na TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY. kama wataka jua zaidi kuhusu hii scholarship na scholarships nyingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi Elimu ya juu namaanisha Elimu ya Vyuo vikuu ni ile ile ya kumeza Notice kama O-level na A-level..!? Au kuna njia mbadala ya kusoma Kwa sababu najua wanafunzi wengi wa Bongo A.k.a Tanzania...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jaman naomba mnisaidie nilini watatoa majina ya wanafunzi walio chaguliwa kwenda kusomea ualimu shule ya msingi.muda naona unaenda.msaada wenu ndugu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom