Salaam Wakuu,
Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya...
Jamani hivi hiki CHAMA CHA WALIMU kipo kwa manufaa ya nani? Mi naona bora walimu wa primary wawe na chama chao na wale wa sekondari nao wawe na chama chao,kama ilivyo kwa wakufunzi
The brain grew in the body of a German woman in the summer of 1878 in the Swabian Alps of the Danube. The woman lived there with her husband in a medieval city called Ulms. The husband was a...
jaman brothers and sister naomba mtu yoyote mwenye kuelewa tofauti kati ya hivi vitu viwili anieleweshe maana naona kama vinanichanganiya kidogo na ipi kati ya hizo ni nzuri zaidi..
Asanteni.
Napenda kutumia nafasi hii kuwatafuta my class mates wote tuliopata elimu yetu ya msingi pale Muungano primary school temeke kuanzia mwaka 1991-1997 nawakumbuka wachache na sijui wako wapi kama...
Mwanzoni kozi 6 zilikuwa eligible na 2 not eligible ,jana nikazipanga vizuri laa ajabu hata zilizo kuwa eligible zikaja not ligible mpaka hiv napo omba msada hali iko hivyo.NIFANYEJE MWENZENU?
1. Philip Emeagwali - A Father of the Internet - Pioneer of the Supercomputer - Biography
2. www.abdulkalam.com
3. Shirley Taylor
4. www.muhammahdyunus.org
5. Where Young Entrepreneurs Meet and...
WanaJF,napenda kuleta hoja mbele yenu tuijadili hii nikutokana na kikao cha TCU kilichokaa pale BLUE PEAL dar es salaam 27/06/2012 na marais wa vyuo vikuu vyote nchini na kukubaliana kwamba vyuo...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences
School of Mathematical Sciences
Department of Statistics...
1.Asilimia zaidi ya tisini ya Lecturers ni Wahindi toka Tamil Nadu na hakuna Professor wala PhD holder hata mmoja chuo kizima
2.Dress Code:Round colar Tshirts for men haziruhusiwi,sleeveless...
Hawa TCU siwaelewi jamany eti jana kozi ilikua ELIGIBLE nyingne zikagoma nkaclear na kuweka nyingine including iliyo ELIGIBLE bt iliokua jana eligible leo NOT ELIGIBLE whts dat sasa jamany????:A S...
Ni baada ya kutafuna fedha za ada za wanafunzi(wanachuo) wanazolipiwa na bodi ya mkopo ya elimu ya juu ikishirikiana na benki fulani hapa nchini. source.Gazeti la leo la NIPASHE UKURASA WA 4
mimi ni mwanafunzi wa first year mzumbe nilikosa mkopo,,je nauliza naweza nikapata mkopo second year kama nikiomba??mwenye kufahamu naomba anijuze!! ahsanteni!!
Kwa takribani wiki mbili,application yangu ya tcu ilikua imepigwa checking in progress,ila thanx God leo nimefungua account yangu ya Cas,nimekuta faculty zote 8 nimewekewa ELIGIBLE,na ikumbukwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.