Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau mnaweza kulog-in tcu mkacheki mabadiliko.. Sijui siku zote hzo walikuwa wanasubiri nini hawa Viazi.. Tnx
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Fungua www.necta.go.tz kuyaona!
0 Reactions
39 Replies
8K Views
The Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with National Council for Technical Education (NACTE) has extended the deadline for submission of applications for the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naombeni msaada wenu jana saa 4 usiku kabla sijalala kwenye akaunti yangu ya tcu kulikuwa na cheking in progress 5 na eligible 3 lkn leo asubuhi zote zimekuwa not eligible ambazo ni 8 nisaidien...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
jamani nisaidie, TCU log in haifunguki, nifanyeje na wametoa maelekezo kuwa unaweza kubadili selection ya programmes mpaka 3/7/2012
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi.... Napenda kuwatangazia wadau wote yakwamba nafanya kazi ya kuandaa mitaala yaani Competence Based Curriculum Development ambazo zitatumika kwa vyuo vinavyotumia NTA system...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani natafuta mahali wanapofundisha masomo ya professional stage IV & V ya PSPTB kwa mjini Arusha, anayejua anijulisha tafadhali ikiwezekana na gharama zake kwa kila stage
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Walimu wa masomo ya sayansi na hesabu(mathematics) wanaofanya semina ya siku kumi 10 katika vituo vya azania na city high school(benjamin mkapa) wanaelekea kususia semina hiyo kwa kile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf kwa wale wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na bodi ya mikopo, mwisho wa ku update taarifa ni leo 30 June lakin cha kushangaza toka asubuhi website ya bodi haifunguki kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wote mliojiunga tcu rekebishen profile zenu leo ndo siku ya mwisho kuna option mpya ya kurekebisha profile zenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka wa ajira uliopita UDOM walituita kwenye interview. Hawakuchagua wenye sifa. Walituita watu wote tulioomba kazi. Matokeo yake kada moja ya nafasi 4 tulijikuta watu zaidi ya 5,000 tulienda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida semina ya walimu wa sayansi na hesabu iliyokuwa ikiendelea jijin dsm imevunjika baada ya walimu hao kulipwa tsh 15,000 per badala ya 45,000 per day kama walaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
guys hivi ni lazima kuweka sex, marital status, nationality and age of birth kwenye cv?
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Huyu jamaa alikuwa hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr mselemu -huyu dr akikuwa kilaza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari, sijui kama kuna mtu ambaye amejaribu kama nilivofanya mimi.. Nimechagua koz nane ila namba 4 na nane zikapigwa Not eligible hivyo niliamua kubadilisha lakini kila kozi ninayoweka kwenye 4...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The brain grew in the body of a German woman in the summer of 1878 in the Swabian Alps of the Danube. The woman lived there with her husband in a medieval city called Ulms. The husband was a...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kuomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mtoto wa ndugu yangu kaja likizo kunitembelea niko magomeni mwembechai naomba kwa anayefahamu sehemu ya kufundisha tution anijuze maeneo ya magomeni
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Kwa wamasuaso napenda kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwisho wa mwaka wa masomo 11/12 itakayoanza jumatatu tar 2 july, tumwombe mungu atupiganie tuwe wenye afya na pia tuweze kuyakumbuka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi hii inshu ya remedial couse {samahani kwa spelling, am only human} imekaaje..? Nafahamu wanaitaji principal pass mbili lakini sina uelewa mkubwa wa mambo mengine kama inaanza lini, fee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom