Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mbunge wa viti maalum chadema bi anamery stlla amesema kuwa kuna wanafunz wanachmaba kwa kutumia manyasi na majan shuleni kwao kwa sababu ya kukosa maji,,,,,, yeboooo,,,,,,halafu mama akasema...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
jamani kuna swali linaniumiza kichwa..naomba msaada wa yoyote anelijua "contemporary african art has been greatly influenced by traditional African art" discuss
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya hivi vyuo vipi vizuri kwa kutoa elimu? DIT (Electronics and telecommunication engineering- diploma) Learn it (International Diploma in business information technology) LPU in India(...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAJAMVI WENZANGU, naomba nijue kuna uzi wowote unaopokea maoni humu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kufikiria tu, kwenye ofisi ya TCU hakuna fedha taslimu. Sasa mpaka watu wamejipanga namna hiyo, wawaleweshe walinzi na kuvunja mpaka kuingia ndani na kutoka, ni nini hasa walichoenda kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana. Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Rais wa Chama cha Walimu nchini Tanzania (CWT) Bw.Gratian Mukoba Wimbi la mgomo wa walimu limeendela kutandaa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na sasa mkoa mpya wa Simiyu baada ya Chama Cha Walimu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari GT's,mm ni kijana wa mwaka wa tatu ktk chuo kikuu kimoja nchini,nna wazo la kuandka ktabu cha course moja wapo ktk masomo yng,naomba msaada wenu ma GT's juu ya nin natakiwa nifanye ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu mwenye kujua ni lini au kipindi gani selected list ya walochaguliwa kwa master kwa udsm anijuze maana deadline ya application ili kuwa 15 May na kwa mfumo wa application unaofanyika manually...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu,nimeshindwa kupost hiyo habari kama ilivoandikwa kwenye gazeti la mwananchi la leo tar 27/06/2012,lakini kwa ufupi ni kwamba,kati ya wanafunz 40000 waliofanya udahili kwa cas-tcu,3000...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
.naskia drs la kwanza wana masomo kumi na moja??jee ni ya kwel na ningependa kupata list ya hayo masomo?na mtihani wa drs la nne umefutwa hapo vp pana ukwel?NI TAARIFA AMBAZO NIMEZIPATA HIVI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Wana JF hivi kwanini NACTE wamegeuza Mtaji wa kukusanya 20,000 za Technical Evaluation alafu wanasema hawakua na huduma hiyo na mwisho wa kufanya application ni tarehe 30 mwezi huu... sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati tukiendelea kuwalaumu madaktari kwamba mgomo wao unawaathiri wagonjwa wasio hatia, tunasahau WALIMU wetu nao wana malimbikizo ya madai ya muda mrefu ambayo hayajapatiwa ufumbuzi, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari mwana jf? Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English, nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeisoma sana katiba ya Tanzania ya mwaka 77,ina mambo mengi sana lakini katika suala la elimu ambayo kwa sasa ni maisha yetu sijafanikiwa kuona chochote,je wewe mwana JF ungependa katiba mpya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania has a shortage of over 45,000 teachers in primary and secondary schools, the Parliament informed on Monday. Responding to a basic question by Special Seat legislator Susan Kiwanga...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Eti hii "checking in progress" inachukuaga mda gani.? Naona siku inakatika bado kozi nilizoomba ziko hvyo.. Natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imesema kuwa wanafunzi 3,000 kati ya takriban 40,000 waliomba kujiunga na vyuo mbalimbali nchini, wamekosa udahili kutokana na kuwa na kasoro mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
samahani wadau hivi mtu mwenye diploma ya hii rulal development huwaana usika na kazi gani..? nina mdogo wangu ameapply diploma ya hiyo rulal development lakini hajui wanahusika na nini naombeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom