Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habarini za wakati huu...najaribu kufanya usajili CAS..kwa bahati mbaya napewa jibu hili. Kwa anaefahamu tafadhali tusaidiane. Failed to connect to server: Access denied for user...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi....! ushauri/mawazo yenu yanahitajika tafadhalini. ni kwamba kuna jamaa aliniuliza hili swali lakini kwangu likawa gumu kidogo kulijibu ndo nimelileta huku, kuna hizo kozi...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Tcu
kwa wale wenye shida na tcu jaribuni ku-log in tena maana ishakubali, tatizo lishaondoka
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Wanawake wengi sana siku hiz hawategemei zaidi ya kujiwezesha wenyewe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari kwamba zaidi ya wanafunzi 4,000 wa shule za msingi na sekondari nchini kote wamekatisha masomo yao kati ya mwaka 2010/2011 kutokana na sababu za kubeba ujauzito kitendo ambacho ni kinyume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kuhusu bachelor of pharmacy ya st john,je ipo compitent,na je chuo kipo katika standard nzuri(enough lecturers,enough practicals)? nisaidien wadau nipo njia panda
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii web hainiruhusu kulog-in eti ninakosea passwd au username, tatizo limeanza leo, nataka kufanya mabadiliko kwenye kozi zangu bt i cnt.. Kuna mtu mwenye clue anisaidie..nashukuru
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Matokeo ya china katika mitihani ya kimataifa shuleni, ambayo haijawahi kuchapishwa, ni ya kuridhisha saana. Hii ni kauli ya Andreas Schleicher, ambaye anahusika na mitihani ya kimataifa ya...
0 Reactions
2 Replies
37K Views
Leo imeripotiwa kuwa mtihani wa Mathematics kwa Form IV umehairishwa kufanyika leo kwa sababu umevuja na utafanyika jumatatu ijayo. Hii ni habari mbaya kwa vijana waliojiandaa kufanya mtihani leo...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Si kuamini kama Mwigulu naye muilboru kwasababu hakuna Muilboru mchemkaji kama Mwigulu. Mimi bweni langu lilikuwa Rungwe je wewe bweni lilikuwa lipi?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
We often hear of people complaining of poor quality of education at college/university level in Tanzania. There are many factors contributing to this problem. One of them is forging academic...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Naomba msaada wenu wana jamiiforums kuhusu Bsc. in Land Management and Valuation na Bsc. in Building Surveying. Pamoja na kwamba kuna tatizo la ajira Tanzania lakini nilitaka msaada wenu wana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na tetesi kuwa kesho jmosi doktazi watagoma,lakini hivi punde tu waheshimiwa wenye dhamana wamewapa unafuu wa jambo lao.Ikumbukwe kuwa doktazi are PCB'S (physics,chemistry & biology)...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
wale wanye tafit zao zisizokuwa na vyanzo, angalieni hawa walimu wanadalili zote kugoma kwa kuwa sasa wanaperform mambo yao kikanda, kigoma, kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini pwani nk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz. Ajira mpya ngazi ya cheti: mwl 244,400/= afya 472,000/= kilimo/mifugo 959,400/= sheria 630,000/=. Ngazi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
CHUO Kikuu cha Mzumbe cha mkoani hapa kimesaini makubaliano pamoja na vyuo vingine vitatu vya nje ya nchi wa kuendesha kozi ya Shahada ya Pili ya Utawala na Menejimenti kwa watumishi wa sekta ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tofauti gani kati ya Academic qualification na Professional Qualification? Na zinafanyaje kazi kwenye nchi yetu ya Tanzania?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom