Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kuna watu walikuwa wanauliza kuhusu wapi wanaweza pata scholarships. Nami nikaahadi kuwa ntawaletea page yenye scholarships mbalimbali zikiwemo ambazo ni mahususi kwa tanzania. Kutokana na ufinyu...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
kuna watu walikuwa wanauliza kuhusu wapi wanaweza pata scholarships. Nami nikaahadi kuwa ntawaletea page yenye scholarships mbalimbali zikiwemo ambazo ni mahususi kwa tanzania. Kutokana na ufinyu...
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Baada ya lile sakata la NECTA ambalo limenyakwa hata na vyombo vya habari vya nje, mabadiliko na uboreshwaji wa Baraza ambayo yamechukuliwa na Serikali hayatangazwi sana na vyombo vya habari! hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hivi kwa wale wanaosoma gender and development wakimaliza watafanya kazi gani?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwanza, mabasi ya wanafunzi ya shule hii ni mabovu kiasi cha kushangaza kiasi cha kutishia usalama wa watoto wetu. Pili, Wanafunzi wanajaa sana kwenye mabasi kinyume na sheria za usalama...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Walimu watangaza mgogoro na chama chao By Thobias Mwanakatwe | 16th June 2012 Walimu nchini wametangaza mgogoro dhidi ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ambao unaweza kusababisha mgomo wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi wana Jf napenda kuwauliza, kwa mwaka huu wa masomo 2012 watakao bahatika kuchaguliwa na Tcu wataanza mwezi wa ngapi ma7omo?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeipenda sana hii, na najiuliza sisi wa-Afrika tunafanya nini? Hatuwezi hili? maana hiki huyu mtoto anachokionyesha hapa ni kipimo cha chakula ambacho wengi wa familia za Tanzania hazikipati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Poleni na Majukumu. Mimi naomba kuuliza kuhusu idadi ya course za kujaza kwenye CAS sababukwenye kitabu cha TCU wameandika ziwe sita au zaid lakini zisizidi nane,,mimi hapa nilijaza saba na chaguo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Llikuuwa ni leo nilipopigwa na butwa pale nlipoenda posta hapa mbeya mjini nlipofkakulipia ems ili ntume form kwa kwel nlishanga wakaniambia ni 11,000 dah hv bodi ya mkop6 inatutakia nn sisi masikin
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hebo tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa Tz (ajira mpya) cheti mwl 244,400=, afya 472,000=, kilimo na mifugo 959,400=, sheria 630,000= diploma mwl...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Walimu mliingia na vyeti vya kufoji? Mbona mnakandamizwa kama watu ambao hamjagusa hata darasa? Hebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz. Ajira mpya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ndugu zangu, nina binamu yangu amemaliza MBA hapo udsm anatafuta kazi. Ana BBA marketing na sasa ana MBA upande huo huo wa marketing. kwa sasa amejishikiza sehemu moja hivi ila anaomba tumsaidie...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bill Gates said (2010) in five years the best education will come from the web making universities obsolete. Now MIT and Harvard have launched online courses on experimental basis with potential...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi jamani nisaidieni eti kati ya kozi ya environmental engineering na land management and valuation ipi inalipa,na uwezekano wa kupata ajira serikarini?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
qn: What do you understand the UNO? With examples mention the ORGANS and FUNCTIONS of UNO and its organs
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana Jf, katika kufuatilia mchakato wa udaili wa wanafunzi katika CAS(Central Admission System) ya TCU nimekutana na category moja imeongezwa ambayo ni Qualification Status, ambapo kila...
1 Reactions
76 Replies
7K Views
bajeti ya mwaka huu wanywaji na walevi mtajiju.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom