Juzi tarehe 21/04/2012 wakati wa kikao cha bunge jioni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Fulukunjombe alimtaja mkuu wa Chuo Cha Mkwawa kuwa alishiriki kula hela za mikopo ya Wanafunzi wa chuo hicho na...
WARAKA WA WAZI KWAKO KUHUSU MGOGORO MPYA UDOM
Mheshimiwa Jakaya M. Kikwete,
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Raisi, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza nchi yetu Tanzania, salamu...
Tunahitaji mwalimu mwenye uzoefu wa course hizo hapo kwa level ya diploma 4 au certificate kwa intensive training ya mwezi na nusu ili kujiandaa kwa exam june mwaka huu, malipo ni kuongea na ya...
Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya...
Nimetembelea watani wetu katikati ya wiki hii inakwisha, na nikabahatika kutembelea chuo kikuu kimoja cha binafsi kilichopo nje kidogo ya Nairobi. Na hapo nakutana na uzinduzi wa taasisi (idara)...
wanabodi,
mie nililowea kny maboksi kwa kipindi cha miaka kumi,baada ya kuona hayalipi mpaka nipate proffessional job nimeamua kurudi shule.....ila nahisi mwenzenu watanikamata,naogopa kweli...
Nipo kwenye mchakato wa kuomba mkopo wa kusoma Elimu ya juu.Nipo Cafe na nimeshindwa kupata mwaka wangu wa kuzaliwa katika hiyo fomu ya HESLB,miaka imeandikwa kuanzia 1940 hadi 1987 tu! sasa mimi...
Tanzania Commission for Universities
Application for admission into higher education institutions in academic year 2012/2013 for applicants who completed their studies from 1988 to 2011
The...
leo nilikutana na rafiki yangu anaefanya kazi utawala wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), akanidokeza kuwa kuna wanafunzi 24 walifukuzwa kwa sababu walikutwa wapo kwenye gari wamevaa sare za Chadema...
Nimejalibu kutafakali kiundani ila sijapata jibu aidha la kimaumbile au la kisayansi kwa nini viungo ambavyo viko pair ktk miili yetu haviko sawa ktk uwezo,kwa mfano wa mkono wakulia hauwezi...
Poleni na Majukumu ya wiki nzima;
Naomba mawazo yenu katika hili!
Wanafunzi wanaopata Division One kidato cha sita hupewa kipaumbele sana na baadhi ya vyuo kama UDSM,Mzumbe na kwingineko...
naombeni msaada wenu katika taasisi/vyuo vinavyotoa tailor made course ya monitoring ya Monitoring and Evaluation kwa bei nafuu katika chuo kinachotambulika na kusajiliwa naomba...
All da xul leaver student knw y most of da student fail to knw even to study english
this problem have da source and source ni KAMATI KUU YA TAIFA coz wanapasisha std 7 bila mpangilio and now...
Unbelievable its bad ti hear that some people in higher learning institutions are not performing real practicals due to shortage of science facilities yes this is our Tanzania towards the world of...
Nilidhani kuwa na vyeti ndio mwanzo mwisho, kumbe dunia ilinigeuza vibaya. Niliogopa hata kuitwa Dr (phd holder) katika some instances kwa sababu nili attract attentions za watu na kubadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.