Ikiwa leo ndo siku ya mwisho ya boom kuwepo mifukoni mwa wanachuo wa udsm, hakuna hata chembe ya tetesi ya siku boom la pili litakapo toka. Hii inamaanisha kuanzia kesho jumatatu wanachuo washinde...
Wanasiasa na wanaojiita wanazuoni wa kiswahili msitudanganye hata kidogo juu ya hadhi ya kiswahili.kiswahili ni lugha ndigi sana na ambayo kwa namna yoyote ile huwezi kuilinganisha na...
Wadau sijafika levo ya chuo,ila nimekua nikisia mara undergraduate mara postgradute lakini sielewi ipi ni tofauti ya hayo maneno.Mwenye kujua naomba anisaidie.
hii wadau,,naulizia ni wapi naweza pata au wanapoouza computer video tutorial on the following subjects
1.oracle 10g and 11g trainining dvd
2.ccna training video
3.micosoft exchange server 2003...
Kuna hizi college km learnit na FTC, wanasema kuwa wanatoa vyeti kutoka uingereza, yani they are accredited, cheti cha masomo ya business ni ABE Association of Business Executives, course yake ni...
Wakuu JF
Hi
My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo...
Wakuu JF
Hi
My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
Wanafunzi wa Shule ya msingi Korotambe wilayani tarime wanauziwa penseli ya shilingi 300 kwa shilingi 1000, mwenye biashara hiyo ni mwl elizabeth joseph, huwa anawafunua watoto wa kike kama hawana...
Because Kiswahili is spoken both as a first and second language, you may hear different pronunciation. However, there is a set of vowels and consonants that are crucial for your pronunciation...
Jaman ambao mpo vizuri kwenye ngeli naombeni msaada hapa! Je kuweka "ki" na "wa" uzungumzapo kingereza ni sahihi mfano 1."I speak kiswahili" 2."wasukuma is the tribe found in northern Tanzania"...
mgomo wa nukia chuo kikuu makumira kutokana na ungozi wa chuo kutaka kuwajeuza wana chuo kuwa mtaji baada ya kuanzisha ulipaji wa lazima wa Tsh 60000 za matibabu kwa kila mwanafunzi kwa...
Hatimaye,wanafunzi kwa mamia waliokuwa na kesi dhidi ya Chuo Kikuu cha Ardhi,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wameshinda tena kesi yao.Kesi hiyo,ambayo ni ombi dogo,ni...
Hiv hii shule kimazingira ya kiufundishaj kuanzia uwepo wa waalim,na nyenzo zingine za ufundishaj ziko vip??na vip kuhusu mazingira yana ushawish?na maisha ya pale kwa ujumla?nimechaguliwa hapo A...
Wadau kama kuna mtu mwenye cv ya waziri wa afya tafadhari atuwekee ili tuweze kujua, kwa kuwa kuna tetesi kuwa Mh. rais amedanganywa juu ya elimu ya huyu mh mponda
Je, management ya mwalimu inafanywa na wizara ya elimu au pale wilayani? Nimefungua pdf ya waliochaguliwa 2011/12 na mwajiri inaonyeshwa kuwa ni either
MKURUGENZI MANISPAA,
MKURUGENZI MTENDAJI...
Habari zenu wadau, mie nilichaguliwa kidato cha tano shule ya machame sasa mzazi wangu amejaribu kunitafutia uhamisho kwenda jagwani kwasababu ya afya yangu[nina pumu]na pia umbali wa shule , sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.