Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi sasa mji wa Iringa unazizima kwa maandamano ya wanachuo kikuu kishiriki cha Mkwawa kwenda kwa mkuu wa mkoa kisa hawajaingiziwa fedha zao,HII NI HAKI KWELI WAKATI MAMILIONI YA KODI ZETU...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanabodi, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini, VETA, wamezindua chuo pekee kilichopo mkoani Manyara. Mkoa huu, ni moja ya mikoa mipya ambao hauna chuo kingine chochote cha elimu...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wadau kuna tetesi kuwa Mkwawa University mambo si shwari. Kwa mujibu wa chanzo changu inasemekana kuna sababu mbili ambazo hazijathibitishwa kuwa ni Ukosefu wa bumu ama mgogoro kati ya wanachuo na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CC wanachuo wa Jordan vip tupeni pesa.Tulitangulia kufungua kabla ya UDSM lakini eti wamepewa.Au kwakuwa cc ni wapole basi tupeni pamoja na upole wetu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2^x = 4x( 2 power x is equal to 4x).Show your working clearly.Any one who can solve it help me.
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nimekuwa nikishangaa sana , eti waziri anasema matokeo haya nimabaya sana wanataka kuunda tume kuchunguza kwa nini? Ndugu zangu hakuna haja ya kuchunguza mataizo yaliyo wazi. Mfano walimu wanadai...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ni siku rasmi ya uzinduzi wa STEMMUCO na mgeni rasmi ni Mh Lukuvi akimwakilisha waziri mkuu, stemmuco ni chuo kikuu kishiriki cha Mt Agustino Tanzania. Chuo kilianza sept 2009 kikiwa na course...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Binafsi nimepitapita maeneo mbalimbali katika nchi hii nimekuta minara imejengwa katika maeneo ya shule,sasa nauliza shule hizo zinanufaika vipi na kodi hiyo ya minara maana shule ziko choka mbaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuuliza hivyo wanajamvi misaidie kama anaweza Natanguliza Ansate kwa wote...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wane jamii forum naomba mnisaidie kuna mitaala gani ambayo imeshabadilishwa ya somo la hisabati zaidi ya ile ya mwaka 1995 na 2005,maana watu wengi wamekuwa wanapotosha jamii kwa kueleza jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fasihi ni sanaa lakini si kila sanaa ni fasihi..NIPENI SABABU TANO
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkwawa ni chuo cha Education,na Walimu ni Wavumilivu hata wasipopewa mishahara mwaka mzima.Ila kwa hili walimu wameshindwa kukaa kimya,Niliwa napita naona Matangazo yamebandikwa kua kesho watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimefanya applications kibao za kusoma masters abroad , ila nyingi wanahitaji niwe nimefanya english test (IGCSE, IELTS, INTO, TOEFL, etc) bt na me cjawahi fanya hiyo kitu, naulizia wapi ninaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanafunzi wapo kwenye maandalizi ya mtihani wa mwisho kumaliza kidato cha sita,mwalimu unawarudisha nyumbani kisa hawakuja na mahindi au maharage shule,vipi hii sera ni ya serekali au ni dili la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimevumilia nimechoka bora kusema ukweli; hii nchi kuna uzembe,ujinga na majina yanayofanania.. 1. unamaliza chuo unagraduate hata trancripts bado..hiyo haitoshi chet had 1 yr ipite...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
wadau embu tuchangie hii hoja kwa umakin... Kuna taarifa zimesambazwa vyuon kutoka TCU kuwa wanafunzi wanaosoma Diploma hawatoruhusiwa kuunganisha Degree mpaka upite mwaka mmoja wakiwa kitaan...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Pana matangazo mengi sasa ya vyuo vya Ulaya na USA vinatoa masters degree mbili kwa wakato mmoja Dual Master's Degree/Double Master Degree na anyaehitu kupewa title ya Dr,.,.,mfano Doctor of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na hii hali ya kutoa tenda kwa wachina wakati kuna wataalam kibao kutoka COET-UDSM....kuna ujenzi wa student centre unaendelea hapa chuo wamepewa Wachina, kuzungusha uzio wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanaJF,nina swali langu na ningependa sana kupata maoni yenu.naomba uchukulie kama ingekuwa wewe ungetumia njia gani.tuseme unataka kutoa ufadhili kwa watoto wasio na uwezo wa kukidhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications; 1. Diploma in Electronic Engineering. 2. Bachelar of Commerce in...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom