Wadau nimejaribu kufanya online application ya TCU kwa Category ya equivalent yaani diploma in education (teacher) mbona inazingua vipi ni tatizo langu tu au ni kwa wote.Naombeni msaada nifanyaje...
uongozi wa nchi ulitegemea sana wasomi lakini wasomi wetu ma PHDs zao wamekuwa majizi sasa msomi na muamifu ambaye hakusoma kutokana na uwezo waa familia yake lakini ni muadilifu na anafundishika...
Sio siri kupata diploma tu ni jambo linalohitaji gharama kubwa katika serikali hii.ajabu zaidi ni katika vyuo vya serikali. Mwaka mzima jumla inakugharimu tsh.1.5 milioni. kweli tutafika. Serikali...
Hivi sasa mji wa Iringa unazizima
kwa maandamano ya wanachuo
kikuu kishiriki cha Mkwawa
kwenda kwa mkuu wa mkoa kisa
hawajaingiziwa fedha zao,HII NI
HAKI KWELI WAKATI MAMILIONI YA
KODI ZETU...
There are some individuals who wish to learn how to generate maps using arcGIS software and have no information on where to go, if you are one, send me an email.
You can learn the following at...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya...
nadiriki kusema kwamba bodi ya mikopo(heslb) waziwazi imekua ikiwapa kipao mbele wanafunzi wa udsm bila kujali mahitaji ya fedha kwa wanafunzi vyuo vingine,juz umetokea mgomo chuo kimoja huko...
Wakuu,kesho ni Sikukuu ya Wafanyakazi,bad enough walimu wa Sumbawanga Manispaa hawajapata Mshahara.Hii halmashauri cjui ina nini?Sijui kwa sababu iko mbali na Dar?Walimu huku wanalazimishwa...
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
Imesikitisha sana kusikika fununu za kunyimwa mikopo kwa wanachuo kwa kozi mbalimbali za sayansi licha ya kipaumbele kilichokuwa kimewekwa na serikali hapo awali.......... wadau mnazungumziaje...
Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala...
jaman yan hapa saut sasa huyu mpanga vipind nae atazame jamn haaa eti kipindi kuanzia sa tano hadi satisa umekaa tuu mmh tuoneen huruma haya tena eti siku nyingne sa tatuu mpaka mbili break sa...
Hivi ni kweli kuwa pale lugalo hospital kuna chuo cha uuguzi kinatrain clinical officers,na je hiyo kozi ya clinical ni open to all qualified citizens au ni military based cause. Mwenye answers...
Nyie ni chombo chetu,tukumbushieni kwenye serikali haya ya fuatayo
.Gharama za maisha zimepanda kwa ujumla wake.
.Walimu tulioka vijijini tunaishi katika mazingira ambayo hayana umeme,huduma...
Wiki mbili zilizopita nilikuwa Singida Mjini kikazi, nikiwa miongoni mwa Wanafunzi waliosoma Singida kati yaa mwaka 1980 hadi 1984 (Form I - IV) nilikuwa na hamu ya kuitembelea shule yangu, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.