kwa matokeo haya ya kidato cha sita na kidato cha nne,inaashiria ni jinsi gan watawala walivyo dhamiria kuichimbia kaburi elimu ya Tanzania,ili tu Taifa liwe na wasomi wachache then waweze...
WAKAZI na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John mjini Dodoma, wako katika hofu kubwa kutokana na kuibuka kwa makundi ya vibaka ambayo licha ya uporaji, yamekuwa yakijihusisha na ubakaji na...
Katika pekuapekua zangu za magazeti ya leo, nimepita katika gazeti la Mwananchi na nikakuta tangazo linalowata graduates wote wa IFM waliomaliza mwaka jana (2011) ambao wamechukua awards (vyeti)...
matokeo ya kidato cha sita ndo hayo tayari... Ushauri wangu kwa wana jf tuwe na ushauri mzuri kwa wale waliopata makeo kama unahisi hauna uelewa kwenye jambo fulani plz usitumie mda wako...
hv jmn hizi combi za 4m 4 Mi ht czelewi. Mf m2 ukipt 'F' ktk maths na bios n then mwsho wa cku ukawa na 3 ya 24. Je unaweza ukapigwa penati? Nisaidieni
Naomi Meshilieki mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Simanjiro ambaye amebahatika kufika kidato cha nne, huku wenzake watatu waliofaulu kusoma katika shule hiyo wakiwa wameolewa...
Jamani wana JF, mimi nilisoma A Level pale Galanos, nilimaliza miaka ya 2000. Ukweli tulikuwa tunafaulu sana. Leo hii nimefurahishwa na matokeo ya Form Six ya Galanos, pamoja na kuwa hali ya...
wa zenji mmekua mkiingiza siasa kwamba necta toka ianzishwe hakuwahi kuongoza mzanzibari..sasa kwa trend hii..mtaweza kweli kuongoza hata mkijisahihishia?? hii ni shule ya mwisho katika matokeo...
wakuu nina mdogo wangu aliyepata gs-s,histry-c,geo-d,englsh-d ya div 2.11 dogo anataka kusoma biashara wakuu nauliza kama inawezekana kusoma biashara na je ni chuo gan anaweza kusoma?shukran mbele
Kitendo cha serikali kubana mkopo kwa wanafunzi wasiochukua education hakivumiliki! Kwa mtazamo wangu ni kwamba vijana wote wa kimaskini waliosoma masomo ya arts wanalazimishwa kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.