Nimerudi tena! Niliwahi omba ushauri wa mdogo anayetaka kusoma sua nikapewa. Nashukuru Mungu dogo naye kafanya mambo mazuri hivyo ushauri wenu utafanya kazi. Sasa hivi nina mwingine wa kike kapata...
wadau embu tulijadilini hili kwa mapana yake kuanzia mwakani wanafunzi wengi watakaoingia chuo watakosa mkopo regrdless umepata division 2 au 1 isipokuwa kwa wale wa education na baadhi...
Heshima yenu wadau, nina mdogo wangu amepata division 3 point 15, alisoma PGM, matokeo yake ni Physics E, Geography S na Maths D, je atapata chuo?
Nawasilisha.
Habari wana jf ,,naomben msaada wenu kwa hili jambo kwan limekuwa kama jaribu kwangu ...niko kwenye quolification ambazo naweza kwenda kusoma mojawapo ya kozi zifuatazo,,,1.computer eng...
Matokeo ya kidato cha sita yako hewani. Yanaonyesha ufaulu kuporomoka. Zero zimepiga hodi hadi Mzumbe na Malangali,kutaja chache. Wengi wamepata daraja la tatu. Hawa wanaelekea wapi? Ikumbukwe...
Tangu kuanzishwa kwake,Shule ya Wavulana ya Feza na ile aliyohitimu Mwanaasha(Feza Girls) zimekuwa zikifanya vizuri kwenye matokeo ya ima kidato cha nne au cha sita.Matokeo ya jana imekamata...
Nyie watoto mliomaliza form six na matokeo yenu kutoka jana hebu twambieni mmepata nini tuwape zawadi kama mmefanya vyema na tuwang'ong'e kama mmetokota
Ukitaka kujua kuwa usomi c chochote, basi maji yakatike hata kwa siku moja tu hapa udsm campus. Vyoo vinakuwa kama havi2miwi na wasomi, mtu na akili zake anaingia chooni hana maji anaachia mzigo...
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nina Advanced Diploma in Accountancy toka IFM yenye GPA ya 4.2, nina CPA na MBA. Ninapenda sana kufundisha vyuo lakini nimekuwa nikikutana na ugumu kutokana na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.