Shule hii kongwe ipo Dodoma mjini imefungiwa rasmi baada ya kutotimiza vigezo. Akitoa ufafanuzi khsu uamuzi huo naibu waziri wa elimu bw Philipo Mulugo amesema shule haikidhi vigezo kwani...
Naombeni Ufafanuzi Wadau...
Link ya kwanza ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Link ya pili ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii...
nimemaliza 4m six nimepata div 3.17 ya hgl naipenda sana rulal development nataka nisome diploma naombeni mnisaidie vyuo vinavyotoa hiyo course na jinsi ya kuapply....asanteni wakuu
Baada ya Management za vyoo vikuu (vilivyo vingi) kushinikizwa na serikali kuanza utamaduni wa kufukuza watu kiolela wanapodai haki zao eti wanasiasa na hadi sasa wengi bado wako nyumbani kutoka...
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S
Wakuu!!leo nilikua najaribu kuangalia matokeo ya hawa wadogo zetu wa kidato cha 6,nimeona kwenye zile shule maarufu kama marian girls,mzumbe,tabora boys,galanos,umbwe,tosamaganga,ilboru nk hakuna...
SAMAHANI KWA USUMBUFU WANA JF JE kwa tokeo la PGM III-13 yaani
GS-S
PHY-E
GEOG-D
MATH-D
NB:- O-LEVEL SIKU PIGA PAPER YA CHEMISTRY BUT NILIISOMA KAMA KAWAIDA
JE NAWEZA PATA AERONAUTICS NA...
Tuna watu wamesoma, wana madigiriii kibao!
Kazi zikitangazwa, hizo applications ukisoma,
hadi raha maana kingereza kingiiiiii!
Kinachoshangaza, "lugha" kwenye izo applications
utadhani kuna mtu...
Nimejaribu kupitia thread nyingi za watu ambao wanaomba ushauri kuhusu,wanaweza kusoma nini Chuo Kikuu,na maswali mengine kama hayo. Nimegundua kwamba,watu wengi hawajasoma "Admissions Guidebook...
Licha ya Zanzibar kujikwamua kilemu. Lkn inaonekana kuna kikwazo kikubwa huko mbele
Matokeo ya kidato 4 na kidato cha 6 ni wazi ni moja ya kikwazo kikubwa cha elimu Zanzibar
Kwanini Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.