Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana Jf hongereni kwa ushauri wenu. Naomba mnisaidie natamani sana nikafanyie kazi botswana. Mwezi wa 6 mwaka huu namalizia digrii ya ualimu.(bachelor of education in arts) please nambieni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi jamani mmekumbana na kero ya CAS kama mimi?Unaingiza taarifa zako alafu ukija kwenye profile yako hazionekani na hata ukitaka kubadilisha program uliochagua mwanzoni, system inagoma na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama silabuse za TZ zisipo hakikiwa bado mtegemee maisha kuendelea kuwa magumu lecture anafundisha masaa manne darasan anacho kifundisha hakin reality na maisha nje ya darasa mifano mingi ya ulaya...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
naomba kuuliza,hiyo faculty inalipa kweli wadau?
0 Reactions
3 Replies
927 Views
wadau naomba msaada ni jinsi gani naweza kudownload vitabu mbalimbali freely. naomba kuwasilisha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele, ''Mratibu elimu kata'' kwa kiingereza anaitwaje? Msaada tafadhali!
0 Reactions
5 Replies
6K Views
WADAU NI HIVI, sisi ambao tulipata vyuo mwaka jan tukaambiwa tuende vyuoni tutapatiwa mkopo huko ni jambo la kusikitisha kwamba tulidanganywa lakini bado kama haitoshi jamaa wakatuchukulia tena...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya watu wameniambia,zile minimum admission points ambazo kila chuo imejiwekea,hazizingatiwi sana na vyuo husika ikiwa vyuo hivyo havijapata watu wa kutosha kwenye kila...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari ya Dodoma Central imefungiwa na Serikali,sababu za kuifungia ni kukosa vigezo vya kuwa shule ya sekondari baada ya Wakaguz wa Elim kuikagua na kujiridhisha kuwa haiana viwango...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Acheni usumbufu wakuulizia habari za admission kila mwaka wanaupdate new information kuhusu vyuo kama mmeweza kuingia huku kwa nini mshindwe panapowahusu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni wadau wa jukwaa la elimu mnijuze kama hv vyuo vya Livestock Training Insitute (LITI) kama kuna hata kimoja wapo kimeishatoa nafasi za masomo au wanasubili wizarani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TAR.4/5/2012.TUME YA UCHAGUZI 2012 CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI IMEFANYA SCREENING YA AWALI KWA WAGOMBEA URAIS NA UMAKAMU.WAFUATAO WALIKIDHI VIGEZO VYA TUME YA UCHAGUZI.NA TAR.5/5/2012 JANA UTAWALA...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Kwa mtu mwenye USLME Lecture Notes Video Step 2 and 3 tafadhali naomba ajitokeze kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana. Mimi ninazo Videos za Step 1 tu, so kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF mwenye uelewa, uzoefu wa elimu na maisha ya Oman naomba anipe vidokezo kidogo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi wa Chuo cha Mkwawa wafunga njia maeneo hayo wakidai pesa zao (Boom) vurugu zinaendelea na wamempiga FFU mmoja mpaka muda huu taarifa inakuja hapa studio za radio free afrika hali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TCU wanaposema kwa wale walimaliza diploma wawe wamefauli kwa kiwango B as minimum, wanamaanisha nini? ufafanuzi tafadhari, maana diploma kuna first, upper-second,lower second na pass sasa B ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza kwa mara nyingine tena wanafunzi wa chuo kikuu cha mt Augustine mwanza wameanza kuishi maisha magumu kutokana na pesa ya loan board kuchelewa kufika. Ni takribani wiki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vipi bachelors zake zina market au unapiga unaishia kuzunguka na vyeti 2.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom