Naomba mnisaidie wadau nimeshindwa kabisa kuapply through CAS. column ya kwanza imeandikwa enter code ya pili code cjaelewa naandika nini kweye hii ya kwanza
Nchukue dakika mbili niiambue mamlaka za JK TAMISEMI wanamambo mengi ya ujenzi wa nchi/taifa kuanzia shinani/vijijini ELIMU ichukue shule zake, kuruhusu madiwani kufuatilia shule huu ni...
Wakuu naomba ushauri wenu mdogo wangu wa kike kapata dv 3 ya 16
atapata chuo kweli naomba mawazo yenu kwa anayejua
G/STUDIES-S HISTORY-S DIVINITY-E KISWAHILI-E ENGLISH-S
Hivi sisi watanzania tutaendelea lini jamani,nawapongeza Tume ya sayansi na mawasiliano kuweka mazingira mazuri ya watu wa IT kufanya kazi zao,pia kuna access free ya internet wireless,sasa kuna...
Kuna wadogo zangu ambao ni walimu kwa level ya degree. Wameajiriwa mwezi wa pili mwaka huu. Mshahara wa february hawakupewa wakaambiwa majina hayakwenda hazina,wakakubali. Mwezi wa tatu mishahara...
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali?
Division IV-19
G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S
Habari waungwana!!!
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je...
Jamani naomba msaada wa haraka.
Nina dogo wangu nataka nimpeleke india kusoma Bachelor ya computer engineering,kwasababu anauweza.One of his project www.Nitafute.In
naombeni msaada kuhusu chuo...
jamani naomba mnisaidie hili swali,the climatic hazards;i need only three with their causes,effects and how to measure it,thankx i need your contributions.g.9t 2u all
WanaJF,
Naomba msaada kuhusu marejesho ya mkopo toka Bodi Ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania.
Mimi ni mdaiwa wa hii bodi, nimeanza kazi mwaka 2011 December hapa jijini Dar es Salaam.
Mwajiri...
Msaada kwa aliyefanikiwa kuapply leo hii maana hawa jamaa wametuambia kwamba tutaanza kuapply leo trh 7 mwezi huu lakini bado system yao inakataa kupokea program choice zaidi ya nne nawakati wao...
Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Tisa Jamadi Thani mwaka 1433 Hijria, inayosadifiana na terehe 5 Mei mwaka 2012 Miladia.
Siku kama hii ya leo miaka 1003 iliyopita alifariki dunia mjini Cairo...
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ikishirikiana na Baraza laTaifa la Elimu ya Ufundi inapenda kuwataarifu waombaji wa Udahili wa elimu ya juu kwa mwaka 2012/2013 hasa kwa wale wanaotakiwa kuomba...
Jaman wana jf embu nishaurini nimefaulu kwa kiwango cha juu HGK ila watu wananiogopesha kuhusu law eti mkopo hupewi,ajira utasota na pia mambo magumu sana! Na mm naipenda sana hii fakat ushaur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.