jamani naombeni msaada nilikua najirigister heslb nilipofikia pahali pakusubmit ilinianzekufanya application ikanirudisha mwanzo kabisa na nilipoingiza ile transaction id tena inaniambia already...
Wakuu nimejarib kuregister TCU, kila wakati inaniambia Voucher doesn't exist na nimenunua jana NBC bank na kuiscratch bila tatizo !! Naomba msaada mwenye idea tatizo ni nini...
Posted by Ta Muganyizi | May 14, 2012
Katika hali inayochanganya TCU walitoa tangazo kuwa kwa wale wahitimu wanaotaka kujiunga na vyo vikuu lazima wanunue vocha kwenye Benki ya NBC watu walinunua...
Msaada wadau kama kuna anaeweza kunisaidia ili nipate Material ya Profesional Stage I & II, pia wapi naweza kupata vitabu! au msaada hata wa kusoma pamoja kwa wale wanaofanya pepa za Novemba!!
The funds set aside for lending to students of higher learning institutions have been exhausted, the board operating the account announced in Dar es Salaam yesterday.
George Nyatega who is the...
Wana JF
Naomba kujua kwanini katika miaka miwili ya 2010/2011 vyuo vikuu vyote Tanzania vimekuwa kimya,hakuna mijadala ya wanafunzi kudai haki zao,hivi wote kwa sasa wanapata mikopo? wanaridhika...
Mkuu wa mkoa wa iringa ameagiza wajumbe wa tume ya uchaguzi chuo kikuu cha ruaha(ruco) kujiuzulu.tume hiyo iliundwa ili kusimamia uchaguzi wa serikali ya wanachuo ya ruco utakaofanyika baadaye...
Salam
naombeni msaada wa chuo chochote nchini India au Malasiya cha Bachelor in computer engineering.
Tafadhali kiwe na bei nafuu kwa mtanzania kama mimi.
Mchango wenu jamani nautegemea.Pia na...
Udom ni janga la taifa,kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia mambo yanavyoendelea chuo kikuu cha Dodoma(udom),kiukweli chuo hiki kimekuwa kikiendesha kibabe,kisiasa na ni chuo pekee Tanzania...
Wapendwa wana JF,
1. Ningependa kwanza tufahamu kuwa kuna hii nafasi ya ufadhili kimasoma (hapo juu) ambapo sisi kama watanzania tuna nafasi ya kuomba na ikiwa mtu atakuwa na bahati basi anaweza...
Salaam wadau.
natafuta kujiunga na chuo kizuri cha MEDICAL india,malasya au songapore chenye bei pouwa.
naomba msaada jamanai its urgently
thanks in advance:frusty:
Nina DIVISION ONE POINT 8 je ni coz gani nzuri ambayo naweza kusoma UDSM au mzumbe kwani ndo vyuo ninayo prefer most,naombeni mwenye copy ya prospectus za hivi vyooa anipatie.Natanguliza shukrani
wakuu habarini za mchana mimi nimejaribu sana kuapply bodi ya mkopo kwanza kupata hile code ni usumbufu kwa njia ya mpesa maana kila nikiandika ile namba yangu mfano S1234.0056.2009 naambiwa not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.