jamani naomba msaada kwani nimejisajili TCU(CAS) Baadaye nikaambiwa nimeshakuwa registered,lakini sasa ninapo log in system ina fail naambiwa nicheck user name na password..sasa kila...
Wahusisha wazazi, walezi majumbani
Ni baada ya kampeni ya `watoto tuache tuseme`
Tukio la Wanafunzi kufanya vitendo vya kulawatiana katika Shule za Msingi Yombo Buza jijini Dar es Salaam...
Mwanafunzi wa kidato cha nne aliyechaguliwa kujiunga chuo cha ufundi veta kibaha kongowe kafukuzwa chuo kwakuwa amekutwa na mimba hewa baada ya kwenda kupimwa katika zahanati ya kongowe. Hakuna...
A sweet lesson on patience.
I arrived at the address and honked the horn. After waiting a few minutes I honked again. Since this was going to be my last ride of my shift I thought about just...
Kwa wale vijana wote wanaotarajia kujiunga vyuoni mwaka huu nawapa tahadhari kwamba MSIJARIBU KUJIUNGA NA CHUO KUKUU CHA UDOM kwani ni chuo kilichojaa siasa chafu, ufisadi, ukandamizaji, wizi...
Habari wakuu.
Jamani naombeni ushauri. Hapa IFM saivi pana ishu ya watu waloshindwa kulipa ada katika muda uliopangwa ambao mwisho ilikua april 30 (hata mimi pia sijalipa) uongozi wa chuo umeamua...
Hìii jamiiforums members naomba ushauri namna ya kuchagua FAKATI za kusomea chuo kikuu bz sijui cha kusomea mchapuo wangu ni arts HGK kwa wenye expirience i need help from u na nimepata division 2...
Kufuatia vuguvugu la migomo katika vyuo vikuu, na sababu kubwa ikiwa ni watu kukosa mikopo, au walopata kucheleweshewa fedha za kujikimu, serikali iliunda tume ya kuchunguza matatizo ya sekta ya...
Leo katika chuo kikuu cha st.Augustine kulikuwa na final ya kombe la FAWASCO ambapo nilishangaa watu wote wanashangilia kwa kunyoosha vidole viwili juu muda wote hakuna hata mmoja alienda kinyume...
Habar wana JF...
Kuna hii shule inaitwa Brain Trust Secondary School, P.O.Box 46152 Tel 0754574728 Dar.
Hii shule imeamua kuwatesa watanzania kwa kuamua kubadili mkataba ghafla tofauti na...
Wana JF naomba msaada wenu.
Kuna ndugu yangu amenipa taarifa jioni hii, akitaka nimsaidie kuomwombea chuo TCU na mkopo HESLB, yeye yupo kijijini mbali sana.
Changamoto kubwa inayonikabili ni...
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa...
Ndugu mliosoma Makoko Seminari (St. Pius X Seminary) ya Musoma naomba tukumbushane machache kuhusu shule yetu pendwa. Enzi za Brother Brendan ( alikuwa akiwaambia Form II wawafundishe Form I...
Wakati wa kuomba kujiunga na vyuo, nikiweka first choice nikawa sijapata, inakuwa na athali gani kwa choice zingine ambazo zinafuatia. Kwa mfano, nimeweka MUHAS first choice nikawa sikupata kwa...
Nimemaliza six mwaka huu wana jf naombeni ushauri katika kozi hii ya public Admistration ambayo ningependa kuisoma mzumbe unversity, ila mbali na hapo huwa nasikia kozi hii watu wanachukua km...
hello mimi nimwanafunzi wa kidato cha tano same boys high school natafuta wanafunzi walio tayari kusoma history kupitia internet kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia valencevictor@ymail.com thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.