Nimepanda gar na binti mmoja mwanafunzi, amevaa uniform, kwemye mfuko wa blouse yake kuna nembo yenye 'school motto' EDUCATION IS A WAR. Je, ni sahihi kuwaaminisha vijana/watoto wetu kuwa elimu ni...
gazeti la majira....la leo tarehe 25-5-2012.....limeripoti kuwa ngono nje nje na ukahaba.....kwa wanafunzi wa
kike wa chuo kikuu cha udsm ya kwamba wanafunzi wengi wa kike.....wamejiingiza katika...
Ni kweli kwamba kwa sasa shule nyingi zimefuta adhabu ya viboko Mashuleni na nikweli kwamba hata mwanafunzi akikosa ni nadra sana kuona mwalimu anachukua kiboko kumpiga. Zaidi ya hilo kelele...
Salama wandugu, kuna kitu nimegundua katika kipindi kama cha miaka kumi sasa kufanya MBA imekuwa ni FASHION. Nimetumia neno fashion kwa vile kuwa nayo inaonekana kama vile umekuwa wa kisasa zaidi...
Habari wana Jukwaa la Elimu: KWA NINI UJIUNGE NA MUGEREZI SPATIAL TECHNOLOGIES
(MUST COLLEGE)
Kila mtu anataka na anatamani kufanikiwa. Kijana aliyemaliza elimu ya sekondari na ambaye...
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu unaotumiwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) katika kudahili wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya elimu ya juu na pia utaratibu unaotumiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu...
Samahani jamani naomba kueleweshwa nini maana halisi ya asilimia ya alcohol katika kinywaji cha bia au na vingine vyovyote vyenye kuwa na alcohol. Mimi kwa ufahamu wangu nilidhani mfano unaposema...
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa...
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko...
Wanabodi.
Jana Mchana nilipata nafasi kumtembelea kaka sister yangu hapo IFM. ghafla nilibanwa na kahaja kadodogo.
Nilichokutana huko ni vigumu kukieleza.
Kwa ufupi choo cha akina dada warembo...
Nawashauri form6 na mnaoaply Elimu ya juu kuanziamwaka 1988 hadi sasa.Wengi wenu mnaaply tu kwa sababu kuna kuaply.Angalia Perfomance yako,angalia uwezo wa kiuchumi kwenu na Angalia loan capacity...
Jamiiforums members naomba ufafanuzi ktk fakati zifuatazo kwamba unakuwa nani na ajira yake nini,.
-Bachelor of art in environmental disaster.
-Bachelor of art in Geography and...
Wana JF kama mtu kaua six akichukua PGM. na kupata
GS-S
PHY-E
GEOG-D
MATH-D YAANI III-13
LAKINU o-level hakupiga chemistry. je anaweza kuchukua coz kama GEOLOGY, PETROLEUM ENGINEERING...
Nyie loans board mnadhìhrisha kabisa kwamba mnadharau kwa vyuo vngne mfano udom.chuo kama udsm tumewekewa bumu la mwisho cku nyingi sana na wala hata hamkutusumbua,lakn vyuo vngne mpaka leo hii...
Wana jf natumai wote mu wazima. Naomba kuuliza kitu kuhusu uelewa wa master programme na undergraduate programme, Kwa mfano mtu amesoma bachelor ya information system na Hana master ya information...
Napenda kuwatumia nyuzimtandao hizi ambazo zitawezesha vyuo vyetu na wasomi huko nyumbani Tanzania kuweza kupata na kushusha/pakua makala mbalimbali za kisomi yasiyopungua 8,000. HINARI, AGORA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.