Guys,cjui nfanye nini coz nina 3.16 ya HKL-(ees)lakin nina F ya GS.Hapo ndo pananichanganya maana nilipenda kusomea LAW au MASS COMMUNICATION,lakini cjui cha kufanya naomba ushauri.je,nkifanya...
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Kagera wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu...
Huyu mkuu wa shule ya sekondari Rwamishenye amekuwa kikwazo cha maendeleo ya michezo kwa wanafunzi hapa Kagera.Mfano mzuri mwaka huu kwa makusudi amezuia shule yake kushiriki mashindano ya...
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Bukoba wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu...
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma,Profesa Kikula,ameahidi kukifunga chuo ikifika tarehe hiyo bila bodi ya mikopo kutuma hela za chakula.Wanafunzi Udom walitakiwa...
Kama ningekuwa na uwezo wa kushawishi, ningeishawishi serikali iingize kozi ya maandishi ya Shaaban Robert katika mtaala wa o level na A level ili vijana wafahamu namna gani SR aliweza kuuona...
Inasemekana kuwa Watu toka Nchi Fiji asili yao ni Tanganyika!Walikuwa wakiambiwa na Mababu zao kuwa asili yao ni Tanganyika!Nimejaribu kuongea na wenyeji wahuko kupata ukweli na wakanithibitisha...
KATIKA MAZINGIRA YA KUSHANGAZA WALIMU WA WILAYA YA BAHI WAPATAO 25 WAMEFANYISHWA KAZI YA KUSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK WILAYA KWA UJIRA WA SH.5000 KWA SIKU KWA MDSA WA SIKU TANO NA HATIMAYE KUOMBWA...
binafsi nimefarijika sana na maamuzi ya hawa mabwana wakubwa, katika hili la kuto kutoa mikopo katika kozi za ICT (Computer science, IT, INFORMATION SYSTEMS, etc.)
sasa naamini tutapata wataalam...
Katika hali ya kushangaza wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wanatamani chuo kifungwe ili angalau wende kwao wapate kufurahi utu wao.Hii ni kutokana na sababu kuwa serikali kupitia bodi ya mikopo...
Kma inawezekana ,waache ukimya kwa wa2 ku2mia kiswahili kisicho sahihi,hasa kwa viongozi.Mfano wanaposema kilimo cha kahawa.Wanatakiwa kusema kilimo cha buni.Kwan kahawa ni zao linalotokana na...
Nina mdogo wangu anayesoma katika jiji la Mwanza,shule moja ya kata, iitwayo Mtoni sekondari; amenieleza kitu kilichonisikitisha sana, kwa sasa wao kule wako katika mitihani ya mock..
Kilichotokea...
Chuo cha Udom kimerudisha baadhi ya wanafunzi waliofukuzwa takribani mwaka mzima sasa. Mpaka sasa wanafunzi waliorudishwa ni 268 ambao wanatarajiwa kuripoti chuoni kati ya trh 2-3 mwezi wa sita...
nashangaa sana, bagamoyo mgogoro kati ya Halmashauri, idara ya elimu sekondari na DEO hawa watu wamuwaoni? nani anahusika, kutoelewana na maneno maneno yanayoendelea KAWAMBWA huoni? au YALIYOMKUTA...
Wakuu naomba kuelimishwa kuhusu hili neno"NYUMBA YA MILELE"kwa nijuavyo mimi maana ya milele ni kudumu,sasa maana ya nyumba ya milele ni nyumba ya kudumu,but ktk elimu na imani za dini zinasema...
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Mkuu wa chuo cha mkwawa iringa amepewa barua ya kukabidhi ofisi ifikapo Jumatatu asubuhi sambamba na wasaidizi wake 2! Na hii inatokana na tuhuma nzito za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.