Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je hii inaweza ikafanyika kwenye chuo husika kwa yule anaye hitaji kujilipia mwenyewe au wote lazima wapitie tcu kwa form six lkn
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu wadau sababu nashindwa kuelewa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Naomba kujua ni wapi wanatoa short courses on research methods.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kusaidiwa kueleweshwa ni jinsi gani naweza kuusajiri umoja/chama cha wakazi wa eneo furani.Umoja huu unahusika na shughuli za kimaendeleo ya kiuchumi na kusaidiana katika shida na...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Naamini imefika wakati nchi yetu ianzishe Televisheni Maalum ya Elimu yenye Channels zaidi ya Tano kwa ajili ya kutoa elimu bora kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka chuo kikuu.
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Ndugu yangu form six amepata div 3 pnt 16 anaweza kuaply chuo kozi ya afya nisaidieni bios e chem e phys s bam s gs s
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kupiga mzigo wa ukweli. kwa kipindi kifupi tangu ufike huku tumekuona kuwa wewe ni jembe haswa. lakini cha kinachotusikitisha ni kuwa unatumia cheo chako vibaya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie info juu ya modality za applications wizara ya mifugo juu ya kozi ya veterinary (kwa form four leavres),how to apply,na je zinatangazwa lini nafasi za maombi,qualifications...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
dear friends two years ago i had a dream to study law after completing my high school studies, but recently acsee results were not as much as i expected i got div 3 17 so i realy want to study...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Nimefanikiwa ku apply kwa system ya TCU, mimi ni diploma leaver, lakini nikifungua myprofile kilakitu kipo safi ila diploma index number yangu haionekani hapo, je kuna yoyote aliye apply kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau, eti course ya GEOMATICS inahusiana na nin? Na vip soko lake katika ajira? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Hi, Nataka ni nunue NETWORK ROUTER kwa matumizi ya nyumbani., Lakini hizi router nyingi zinatumia ethernet wired kutoka kwa ISP(Internet service provider). Nilikuwa nataka kujua kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauliza kuhusu qualification za medicine eti div 3 ya 16 unaweza kwenda medicine au alternative way ni ipii
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtaani kuna ubishi kuhusu hii kozi ya GEOLOGY kwamba EGM hawezi kuisomea ni PCM tu embu funguka baadhi wanadai EGM anaweza wengine wanakata embu ni fumbue ni vigezo gani vinatumika hapo?, karibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF habarini za mida, Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2012 na matokeo yangu yako hivi; CHEMISTRY-E,BIOLOGY-E,GEOGRAPHY-E na B/MATH-S. Kutokana na hizo maksi nilizopata hapo juu ni kozi gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui aliye kuteua ametumia vigezo gani. Lakini hukustahili kurudi katika baraza la mawaziri hili. Umeshindwa kabisa kuongoza Elimu, umeshindwa hata kuhamasisha angalau watoto, wajukuu zetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa waliojaribu kuitumia CAS wanaelewa kero mbali mbali za hii sytem.Kwa mfano kwenye profile yako baadhi ya taarifa hazionekani licha ya kuwa umeiziingiza kwa usahii kabisa,au unaweza kuclik...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo asubuhi nikitaka kuingia kwenye cas ilinijirijesta inaniambia ths site is hacked ni tatizo langu tu au ni kote jamani!...msaada wakuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom