Mwanafunzi kakaa chuo cha uhasibu Arusha miaka mitatu. Anasoma IT (imformation technology). Amemaliza miaka mitatu anakutana na computer anaishangaa! hee hii ndiyo SATA! mama yangu kumbe IDE ndiyo...
Siku za hivi karibuni, kumeibuka hisia kuwa India si mahala salama pa kusoma kwa watanzania.. Hisia hizi zimetokana na taarifa iliyotokea eneo la Bangalore, India ambapo kuna wanafunzi wa...
Great thinkers naombeni ushauri wenu kuhusiana na hili,tangu nikiwa o level nilipanga nitakuja kusomea maswala ya land(bachelor of sciense in land management and valuation pale chuo kikuu Ardhi)...
Nina principle mbili na s moja. Nataka kusoma degree kwa kujilipia mwenyewe bila mkopo. Sababu naogopa kuaply kama nikikosa kuchaguliwa itabidi nisome diploma ndio maana nataka kujilipia degree...
Watanzania wenzangu naomba tusaidiane ktk hili,nina mdogo wangu kamaliza f4 na amepata 1v ya 28 anataka kujiunga na jeshi la polisi au magereza lakini hatujui huwa watu wanajiungaje kwani binafsi...
Wadau system ya TCU CAS imeanza kufanya kazi kwa kukubali user waliomaliza diploma kufanya registration kwa ajili ya elimu za juu, mimi nimemaliza diploma ucc na nimefanya usajili leo hii, lakini...
Taifa limewatelekeza wanafuzi waliofeli mitihani yao bila kujua sababu gani wamefeli. Wakati nchi imepata uhuru darasa la nane alikuwa anapata kazi nzuri tuu leo ajira imekuwa ngumu hata kwa chuo...
Wanafunzi wa Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) leo wameendelea na mgomo wao wa kushinikiza uongozi ili walipwe hela zao za kujikimu ambazo zimecheleweshwa kwa zaidi ya wiki sasa. Shughuli za...
Hostel ni za shida sana, chumba bei ya chini laki 5, kwa semester si chini ya coz 9 labda uchaguliwe BASO, swala la kuandamana kudai haki sahau, vpindi ni mpaka jumamosi. Nawasilisha.
Habari zenu wana JF. Anayefahamu hostel yoyote ya wanafunzi wa sekondari maeneo ya karibu na kariakoo mpaka ilala (ukiondoa Al-haramain) anijuze tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.