Kweli utafiti ulifanyika kubaini mazingira halisi ya shule zetu? je tuna madawati ya kutosha na yenye ubora?,nafikiri utafiti wa kina ufanyike juu ya hili,kwani si la kukurupuka.
WAJAMENI, nimefanikiwa kuandika kitabu kizuri sana, viwili actually, na lengo langu ni kuvitoa vitabu hivyo ili niviuze. mambo niliyoandika ni marketable sana hapa tz tena nimeandika kwa kiswahili...
Salamu kwenu
Baada ya kumsikiliza mh Livingstone Lusinde akimwaga hotuba yake, kilichoniijia akilini ni kwamba kweli hizi communication skills tunazofundishwa Vyuoni ndio zinapaswa kuwa hivyo...
Hallow wana jamvi!
...naulizia kwa mwenye details za kutosha juu ya kusajiliwa kama Professional Engineer kwa mtu aliyemaliza Advanced Diploma ya IT au Computer Science.
Je, unaweza kusajiliwa...
Habari wakuu,
Mnaweza kunisaidia kuniambia au kunipa ujuzi kwamba,,inawezekana kubadilisha Jina lako Necta kama nimemaliza Form IV lakini Certificates zina Old Name, mimi nilikuwa nahitaji...
kuna rafiki yangu,ameniuliza,yeye alifanya mtihani wa form 6 mala mbili,mala ya kwanza alifanya masomo yote 4(arts)akapata principle 1, na subsidiary 3 mwaka unaofata akarudia tena...
It is undisputed that JF is the leading social network within our country and perhaps beyond our borders. with JF you get entertained as well educated. Members wa humu tunajiita great thinkers and...
Mfano mwalimu wa hesabu anapumnzika lini? maswali matatu wanafunzi hamsini na asahihishe mpaka lini?
Na je akirudi nyumbani afanye nini na kesho anakipindi na je ni sawa na mwalimu wa...
Unaweza kupata orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011
Kwa wasichana bonyeza hapa
http://www.moe.go.tz/PDF/Orodha%20ya%20Wasichana-2011.pdf
Wavulana bonyeza hapa...
Ilinitokea o level Azania miakaa kadhaa ilopita.nilikuwa darasa la biashara ila km ujuavyo masomo ya arts ikiwepo biology ilikua lazma..binafsi nikaongeza na ziada ya fine arts na computer studies...
Habari! Naomba kwa anaye fahamu shule ya machame girls anieleze kuhusu mazingira yake ya kusoma ipo maeneo yapi na pia contacts zake ikiwezekana , naomba ushauri wenu juu ya kuenda shule hii asante
Kutoka na vitendo vya ngono kushamili chuo ya biashara CBE Dsm. Namatokeo mabaya wa wanafunzi wa kike . NImarufuku kuvaa suluari za mchina zinazobana na kuonyesha maumbile yake.
NImarufuku kuvaa...
Jamani napenda kuuliza kuhusu ku change comb kutoka HGE kwenda EGM Kwani zote nina point 6 na ndo EGM ilikuwa comb ya kwanza kuchangua je inauwezekano .NA SHULE ITA NIFAA KWA HIYO comb msaada plz