Jamani mwenzenu nimepangwa Songea (V). Kwa aliyepangwa Iringa (V) na hana interest napo tubadilishane wakuu coz nimepazoea sn kwa sasa. Msaada kwa hl pls!!!
Wakuu nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba huu ndio wakati wa zile hela za walimu za kujikimu ,nauli na hela za mizigo kuchakachuliwa.
Ushauri wangu kwenu walimu wapya ni kuwa makini na...
Wadau kama mjuavyo walimu tumepata ajira tulizozisotea kwa takriban miez 6,
suala la hela ya kujikimu limekua ni siri kubwa, ukienda halmashauri, ukiomba waraka unaonekana "NUKSI", ivi kwanini...
Heshima kwenu wote na poleni na mihangaiko ya kila siku,
Jamani kama kuna wajumbe mliopitia mzumbe university main campus najua tumeelewana sana kuhusu hiyo kitu inaitwa KIU
Binafsi ilikuwa...
Blessed Love One and All.
I hereby share part of my treatise on advent global cultural transformations. In this particular segment, empirical social economic constitutions are constructed and...
Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so...
Hi guys, I m new here n wish u all Jamaa a Prosperous New Year. What is website to download Necta std7 results for 2011? My daughter's primary headmaster anaona uchungu kutoa matokeo kwa sababu...
Wadau 2mezoea kujua kuhusu binadamu kila cku! leo 2hame kdgo, swali langu kwenu je kobe (kasa) wanakutanaje kimaumbile?? ili hali wote wamejengewa nyumba wanatembea nayo! msaada kwenye hili wakuu!
Good day Jf members, will you kindly tell me what are the functions of the titles mentioned and qualities one should have to become: 1.JF Senior expert member 2.Senior member 3. JF Premium...
KOLEJ UNIVERSITY L e g e n d a
LINTON
UNIVERSITY COLLEGE E d u c a t i o n G r o u p
WORLD CLASS DEGREE PROGRAMMES Studying with Legend a Education Group means being part of a...
Break news Wanafunzi wametakiwa kulipa ada zao ndo wapate Boom lao ifahamike pesa imeingia leo Udsm bt Maboko katoa tamko No bum bila Ada Je? Hawajui kwamba watoto maskini mh wanategemea bum mh...
Serikali yakerwa kufukuzwa wanafunzi Ndanda
Yaruhusu wafanye mtihani
na Abdallah Khamis
Mbali na hatua hiyo, wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita waliofukuzwa wataruhusiwa kufanya...
Tatizo kubwa la wazazi kususa kuwapeleka watoto shule na kulipia michango ya shule ni matokeo mabovu ya mitihani ya kidato cha nne. Shule zipo katika mazingira magumu yasiyo rafiki ya kielimu...
Ndugu zangu, naomba kujua chuo kizuri kati ya udsm computer center na learn it. Nataka nimpleke kijana aliyemaliza form four akajifunze computer application hasa course ya international computer...
Ndugu zangu,
Nina mdogo wangu kamaliza Form four nataka asome computer courses hasa Ms,word, excel, powerpoint ETC.Je wapi ni mpeleke ambapo wanaweza kumfunza computa na akaelewa, kati ya UCC na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.